Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
Ivi! nilikuwa nataka kufahamu kwa details za kiufundi kuhusu hizi gari mbili kati ya Toyota Land Cruiser zinazoitwa Hardtop na hizi vigari vidogo vinavyoitwa Altezza
ni gari gani hapa inayoweza kumshinda mwenzie kwa speed, yaani ninapozungunzia speed namaanisha ile ya distance covered by time. Maana yake hizi Land cruiser naona zinasifiwa sana utasikia ''mkonga huo baba usifuate" nilipofanya utafiti nikagundua huwa zinatunika katika wizara mbali mbali mfano maliasili ndio gari zao sana na ukija kwa polisi dah! si mchezo yaani zipo tele tena wanazitembeza si mchezo, kuna siku nilijaribu kuifuata Hardtop moja hivi ilikuwa imebeba mafuta ya minara, aisee sikuiona kabisa.