Kati ya Land Cruiser hizi za polisi na hizi Altezza zipi zinazokimbia sana?

Nilileta huu uzi kwa ajili ya mlinganisho baina ya hizi mashine, sababu nataka kuhamisha makazi kutoka Dar na kuingia mkoani kwa kila siku dar-mkoani mkoani-Dar. Mfano niwe natoka Ikwiriri makazi kuingia Dar ofisini. Sasa nashangaa watu mnaanza kunionyeshea bastola.
 
naona mnaongea ongea tu...my highest driving speed ilikua 120km/hr niliendesha kama dk 5 au 7 hivi nikasikia ule wimbo wa KKKT wa si mbaliiiiiii...karibuuuuuu tutafika ma sisi hukoooo...nikarudi 80...pamoja na ujasiri 180 sio mchezo arifu ...labda kama mimi cjui magari ...mimi nadhani zote ziko sawa labda tofauti ni tafsiri ya dereva kwenye dashboards... haya mabasi ya mikoani kuna baadhk yanafikaga 140 unasikia abiria wote wanakemea mapepo..wacheni masikhara na hizo no hapo kwa dashboards
 
Sioni mtu anayenipa horsepower, torque na curb weight figures. Hivi ndio vitu vitavyodetermine which is the fastest off the line (acceleration) and which has a larger top speed.
 
Mi niko kwa gx 100 mark 11 speed 120 nikachongwa na ist old model ya cc 1290
Hiyo gari mbovu mkuu amini kwamba mwaka jana novembar 10 tulitoka dar saa 12 na gx 110 kwenda songea kupitia lindi ebhana bro alikua anafukuzana na basi mkuu tumeingia songea saa 11 mark 2 grande usifananishe na ist japo mm sio mtu wa magar
 
Yote yanakimbia inategea matumizi na barabara ikoje
-kwenye lami land crusar itaachwa
Kwa barabara ya vumbi mfano kilombero mpk Ifakara Arteza ikifata Land cruser ...Arteza utaikuta kwenye mashamba ya miwa
Ikini pia zimetengenezwa kwa matumizi tofauti, na uimara tofaut
Mfn. Land C inaweza kufika 300,000km nabado ukawa ujapiga injini chini wakat Arteza ikifika 200,000km ndo imefika 90% ya maisha yake
so altezza ikifika hizo kilomita inabidi ubadili engine
 
hapo tunaangalia engine BHP... hizo cruiser kama hyo haizidi 140 BHP alafu a normal altezza with a stock engine 1G-fe inafika hadi 180+ BHP so hapo hyo cruiser itaishia kusoma plate number za tezza
what do you mean by saying BHP.nipe somo kidogo hapo
 
Sioni mtu anayenipa horsepower, torque na curb weight figures. Hivi ndio vitu vitavyodetermine which is the fastest off the line (acceleration) and which has a larger top speed.
horse power,torque na curb weight vina affect vipi acceleration ya gari
 
naona mnaongea ongea tu...my highest driving speed ilikua 120km/hr niliendesha kama dk 5 au 7 hivi nikasikia ule wimbo wa KKKT wa si mbaliiiiiii...karibuuuuuu tutafika ma sisi hukoooo...nikarudi 80...pamoja na ujasiri 180 sio mchezo arifu ...labda kama mimi cjui magari ...mimi nadhani zote ziko sawa labda tofauti ni tafsiri ya dereva kwenye dashboards... haya mabasi ya mikoani kuna baadhk yanafikaga 140 unasikia abiria wote wanakemea mapepo..wacheni masikhara na hizo no hapo kwa dashboards

Hahahaaa watu 200-240 usiku wanazifikisha we 120 hio ya mjini kabisa??😁😁😁

SIkumoja Panda gari za magazeti wale ndo standard ni 180

#mwendokasiUNAUA
 
hii yenye cc 3000 ina maajabu yapi?
Hakuna 3sge yenye cc3000. Wewe unazungumzia 2jzge ndio yenye cc3000 na unaikuta kwenye Lexus is300/AS300.

Maajabu ya hio engine, ni pale utakapokuwa upo tayari kuwekeza kwenye perfomance. vile vile ilivyo, ukiweka turbo, unaweza kupata 400hp bila kubadilisha kitu chochote ndani. Watu wana 2000HP na hio engine.
 
Hiyo gari mbovu mkuu amini kwamba mwaka jana novembar 10 tulitoka dar saa 12 na gx 110 kwenda songea kupitia lindi ebhana bro alikua anafukuzana na basi mkuu tumeingia songea saa 11 mark 2 grande usifananishe na ist japo mm sio mtu wa magar
Mark Ii grand kiboko yao
 
kwel kk sema watu hawazijuagi tu hiz gar, off road labda ndo utapenda ila lami haisimami

na wakumbuke sio kila hardtop ama pick up ndan kuna 1hz some tymz unaeza kuta kinu ni 1VD FTV au 3UR FE daaaadeq huu ni moto mwingne kabsa we na teza yako utapindisha c.head hahaaaa 😀
Mbio mtu unawahi wapi?
 
naona mnaongea ongea tu...my highest driving speed ilikua 120km/hr niliendesha kama dk 5 au 7 hivi nikasikia ule wimbo wa KKKT wa si mbaliiiiiii...karibuuuuuu tutafika ma sisi hukoooo...nikarudi 80...pamoja na ujasiri 180 sio mchezo arifu ...labda kama mimi cjui magari ...mimi nadhani zote ziko sawa labda tofauti ni tafsiri ya dereva kwenye dashboards... haya mabasi ya mikoani kuna baadhk yanafikaga 140 unasikia abiria wote wanakemea mapepo..wacheni masikhara na hizo no hapo kwa dashboards
😂😂😂😂😂😂😂😂uzi ufungwe tu
 
Hakuna 3sge yenye cc3000. Wewe unazungumzia 2jzge ndio yenye cc3000 na unaikuta kwenye Lexus is300/AS300.

Maajabu ya hio engine, ni pale utakapokuwa upo tayari kuwekeza kwenye perfomance. vile vile ilivyo, ukiweka turbo, unaweza kupata 400hp bila kubadilisha kitu chochote ndani. Watu wana 2000HP na hio engine.
noma sana.hivi ukiwa na horsepower kubwa gari ndo inakuwa nyepesi au
 
Ukiambiwa gari ina horsepower 200, ni sawa na hio gari yako imefungwa farasi 200 halafu waivute. Sasa hapo inategemea hao farasi 200 ulokuwa nao wanavuta mzigo gani. unaweza ukawa na farasi 200 lakini wanavuta container ukapitwa na kuachwa mbali na mwenye farasi 80 ambae wanavuta kibox
 
Back
Top Bottom