Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
altezza yako wewe ni engine gani?wewe ndio wale wanaosema 6 inakimbia kuliko 4 cylinders. Au 6 inakunywa kuliko 4
Ukichorewa 200kph pale kwenye speedometer usifikiri kama ile ndio spidi ya mwisho ama gari inaweza kufika hapo kirahisi. Hio Altezza yenye 180, kwa taarifa yako tu, inavuka mshale mpaka inataka kujirudia izunguke tena, hio ni ALtezza ya kawaida 3sge na haina mods zozote ile. CC kubwa manake sio kwamba inakwenda mbio kuliko yenye cc ndogo.