Kati ya Land Cruiser hizi za polisi na hizi Altezza zipi zinazokimbia sana?

Kati ya Land Cruiser hizi za polisi na hizi Altezza zipi zinazokimbia sana?

ipi ina performance nzuri rear wheel drive au yenye wheel drive mbele na nyuma?
All wheel drive huwa mostly ni useful kwenye special conditions tu, mfano kwenye snow na matopeni. Kwa matumizi ya hapa bongo tu, all wheel drive sedan ni kujibebesha mzigo tu naona. Tuned cars huwa rear wheel drive, ndio unaziona kwenye drag race. Sio kwamba hakuna AWD au FWD ila RWD ndio best
 
gari ya AWD inaweza ikafanyiwa modification na kuwa RWD?
 
Inawezekana, ila sioni mtu akifanya hivo. Hakuna izo kits za ku convert AWD to RWD labda kwa special vehicles na sio rahisi izo kits.
thank you for the information mzee nataka nitafute supra 2JZ nikaipige na modification ya turbo charger
 
Mi nahisi unataka kufanya tukio kwa kutumia gari la Alteza unataka kujua namna gani utawakimbia polisi. Anyways, mi naonaga Alteza inapiga makelele tu ila iko palepale utadakwa fasta

Yan uwe lami cruza za hawa jamaa ikupite 😁 utakuwa ni lena
 
naona mnaongea ongea tu...my highest driving speed ilikua 120km/hr niliendesha kama dk 5 au 7 hivi nikasikia ule wimbo wa KKKT wa si mbaliiiiiii...karibuuuuuu tutafika ma sisi hukoooo...nikarudi 80...pamoja na ujasiri 180 sio mchezo arifu ...labda kama mimi cjui magari ...mimi nadhani zote ziko sawa labda tofauti ni tafsiri ya dereva kwenye dashboards... haya mabasi ya mikoani kuna baadhk yanafikaga 140 unasikia abiria wote wanakemea mapepo..wacheni masikhara na hizo no hapo kwa dashboards

Depending na gari uliokuwa unaendesha, nishaona bus kadhaa hapa hapa nchini zikiwa 160kph kipindi hakuna VTS

Nishakuwa kwenye prado j150 tumetembea 180 muda mrefu sana .....pia nishakuwa kwa gari ingine ndogo ndogo mkifika 95 mnaona mnakufa

Kifupi ni namna gari yako ilivo
 
thank you for the information mzee nataka nitafute supra 2JZ nikaipige na modification ya turbo charger
Kama hela ipo mbona fresh sana. Ila kwa bei ya supra, unaweza kununua Altezza na kuiweka 2jzge na kununua turbo kits na ku gain nguvu kubwa sana tena sana kwa izo hela. Ila kama umependa muonekano wa supra pia fresh.

Ukinunua wapelekee jamaa wanaitwa Geartech perfomance, ndio kazi zao izo kwa hapa TZ.
 
ila Supra inaonekana sio nyingi hapa bongo
 
una maoni gani kuhusu Supra.hii nimeona engine code wameweka ni 2JZ nadhani ndo ile ile 2JZ GE.(nirekebishe kama nimekosea hapo).cc ni 2990 ila wheel drive wameweka dash sijaelewa wamemaanisha nini.cheki hapo chiniView attachment 1523175View attachment 1523176View attachment 1523177View attachment 1523178View attachment 1523180View attachment 1523182
Afu hii machine ikiwa manual ndio inakua na mzuka sana,though manual zenyewe huko zinapouzwa ni adimuna zikipatikana mostly zinakua expensive kuliko auto.

Hata hapo be forward Supra zinazouzwa ni 16 lkn manual ni 4 tu.
 
Hamna mkuu. Huwezi kuagiza body tupu. Kupata body tupu umkute mtu alikuwa anaivunja na kuuza spea, kitu ambacho sifikiri kama utaona supra inafanywa ivo.
hivi hapa hiyo million 54 ni pamoja na tra au?
Screenshot_20200801-210351.jpeg
 
Hamna mkuu. Huwezi kuagiza body tupu. Kupata body tupu umkute mtu alikuwa anaivunja na kuuza spea, kitu ambacho sifikiri kama utaona supra inafanywa ivo.
hivi kwa magari mengine kuagiza body mpya inawezekana?
 
Afu hii machine ikiwa manual ndio inakua na mzuka sana,though manual zenyewe huko zinapouzwa ni adimuna zikipatikana mostly zinakua expensive kuliko auto.

Hata hapo be forward Supra zinazouzwa ni 16 lkn manual ni 4 tu.
Manual ni adimu sana kuzikuta. na huwa ghali. USA ma tuners huwa wanabadili gearbox wanaweka za manual, lakini sio kutoka kwenye supra engine. Huwa ni za gari nyengine, lakini inahitaji ujuaji ujue ipi inafaa, especially kama
hivi hapa hiyo million 54 ni pamoja na tra au?View attachment 1524151
Bei ya kuinunua tu hio.

TRA wanakusubiri uwalipe 24,107,001.81
 
hivi kwa magari mengine kuagiza body mpya inawezekana?
Mitandaoni huwezi. Body tupu uende kwenye junk yards. Kama una mtu UK au Japan, ndio umpe io kazi aingie kwenye junk yards akutizamie. Uko beforward na wenzake huwezi kukuta body tupu
 
Ivi! nilikuwa nataka kufahamu kwa details za kiufundi kuhusu hizi gari mbili kati ya Toyota Land Cruiser zinazoitwa Hardtop na hizi vigari vidogo vinavyoitwa AltezzaView attachment 673290

ni gari gani hapa inayoweza kumshinda mwenzie kwa speed, yaani ninapozungunzia speed namaanisha ile ya distance covered by time. Maana yake hizi Land cruiser naona zinasifiwa sana utasikia ''mkonga huo baba usifuate" nilipofanya utafiti nikagundua huwa zinatunika katika wizara mbali mbali mfano maliasili ndio gari zao sana na ukija kwa polisi dah! si mchezo yaani zipo tele tena wanazitembeza si mchezo, kuna siku nilijaribu kuifuata Hardtop moja hivi ilikuwa imebeba mafuta ya minara, aisee sikuiona kabisa.View attachment 673287
Speed gauge ya cruiser mkonge imemarkiwa mwisho 200kph
Speed gauge ya alteza mwisho 180kph
Ukubwa wa Engine
Alteza 2000cc
Cruiser 4500cc

Kwa madereva wenye viwango vilivyo sawa
Alteza itaachwa. Na alteza iking'ang'ania kufukuza bila shaka engine yake itapata madhara.
 
hahahaaa!! itapata madhara
 
wewe ndio wale wanaosema 6 inakimbia kuliko 4 cylinders. Au 6 inakunywa kuliko 4

Ukichorewa 200kph pale kwenye speedometer usifikiri kama ile ndio spidi ya mwisho ama gari inaweza kufika hapo kirahisi. Hio Altezza yenye 180, kwa taarifa yako tu, inavuka mshale mpaka inataka kujirudia izunguke tena, hio ni ALtezza ya kawaida 3sge na haina mods zozote ile. CC kubwa manake sio kwamba inakwenda mbio kuliko yenye cc ndogo.
 
Back
Top Bottom