Kati ya Land Cruiser hizi za polisi na hizi Altezza zipi zinazokimbia sana?

Unaweza pewa Range Rover Evoque na bado ukakamatwa cha msingi ondoa hofu halafu jua panga gia kwa wakati chukua gari ingia kazini!...
Usisahau kuja mchangia M.Mello jukwaani!.
 
Yote yanakimbia inategea matumizi na barabara ikoje
-kwenye lami land crusar itaachwa
Kwa barabara ya vumbi mfano kilombero mpk Ifakara Arteza ikifata Land cruser ...Arteza utaikuta kwenye mashamba ya miwa
Ikini pia zimetengenezwa kwa matumizi tofauti, na uimara tofaut
Mfn. Land C inaweza kufika 300,000km nabado ukawa ujapiga injini chini wakat Arteza ikifika 200,000km ndo imefika 90% ya maisha yake
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Ivi! nilikuwa nataka kufahamu kwa details za kiufundi kuhusu hizi gari mbili kati ya Toyota Land Cruiser zinazoitwa Hardtop na hizi vigari vidogo vinavyoitwa AltezzaView attachment 673290 ni gari gani hapa inayoweza kumshinda mwenzie kwa speed, yaani ninapozungunzia speed namaanisha ile ya distance covered by time. Maana yake hizi Land cruiser naona zinasifiwa sana utasikia ''mkonga huo baba usifuate" nilipofanya utafiti nikagundua huwa zinatunika katika wizara mbali mbali mfano maliasili ndio gari zao sana na ukija kwa polisi dah! si mchezo yaani zipo tele tena wanazitembeza si mchezo, kuna siku nilijaribu kuifuata Hardtop moja hivi ilikuwa imebeba mafuta ya minara, aisee sikuiona kabisa.View attachment 673287
Hata ukiwa na toyota wish tu hiyo landcruiser haikupati...
 
Mi nahisi unataka kufanya tukio kwa kutumia gari la Alteza unataka kujua namna gani utawakimbia polisi. Anyways, mi naonaga Alteza inapiga makelele tu ila iko palepale utadakwa fasta
Hayo ya kwako.
 
Yaani ubongo wako umekaa ki wizi wizi tu!
 
Yote yanakimbia inategea matumizi na barabara ikoje
-kwenye lami land crusar itaachwa
Kwa barabara ya vumbi mfano kilombero mpk Ifakara Arteza ikifata Land cruser ...Arteza utaikuta kwenye mashamba ya miwa
Ikini pia zimetengenezwa kwa matumizi tofauti, na uimara tofaut
Mfn. Land C inaweza kufika 300,000km nabado ukawa ujapiga injini chini wakat Arteza ikifika 200,000km ndo imefika 90% ya maisha yake
Haha eti altezza utaikuta kwenye mashamba ya miwa😀😀😀
 
Ivi! nilikuwa nataka kufahamu kwa details za kiufundi kuhusu hizi gari mbili kati ya Toyota Land Cruiser zinazoitwa Hardtop na hizi vigari vidogo vinavyoitwa AltezzaView attachment 673290 ni gari gani hapa inayoweza kumshinda mwenzie kwa speed, yaani ninapozungunzia speed namaanisha ile ya distance covered by time. Maana yake hizi Land cruiser naona zinasifiwa sana utasikia ''mkonga huo baba usifuate" nilipofanya utafiti nikagundua huwa zinatunika katika wizara mbali mbali mfano maliasili ndio gari zao sana na ukija kwa polisi dah! si mchezo yaani zipo tele tena wanazitembeza si mchezo, kuna siku nilijaribu kuifuata Hardtop moja hivi ilikuwa imebeba mafuta ya minara, aisee sikuiona kabisa.View attachment 673287
Majizi hayapotei. Haya baba kaibe tu ipo siku yako na ki altezza chako
 
We wachokoze ndo utajua kati ya Alteza, LC mkonge na Risasi kipi kitakacho kudaka mapema
 
Back
Top Bottom