Hizo ni number za cylinder tu mjomba. Kuna magari yana cylinder nane na hayafui dafu kwa Altezza. Wingi wa cylinder sio nguvu ya gari.Sijui kama unajua tofauti ya cylinder 6 na cylinder 4
Kuna gari mpya imetoka ya kampuni ya Koenigsegg, The Gemera, ina cylinder 3 tu na ina horspower 600. Hio Cruiser kabla haijaondoka mnyama haonekani tena ata njia alopita.