Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,538
- Thread starter
- #41
Risasi tena?We wachokoze ndo utajua kati ya Alteza, LC mkonge na Risasi kipi kitakacho kudaka mapema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Risasi tena?We wachokoze ndo utajua kati ya Alteza, LC mkonge na Risasi kipi kitakacho kudaka mapema
Hujui kituHiyo LC mkonge hata kwa paso haifui dafu
Hiri ritakuwa rijambaziVip unafanya kautafiti ili uende ukaibe benk?....alteza ni gari ndogo sana wata kushika at an eye blink.
Hiyo gari mbovu mkuu amini kwamba mwaka jana novembar 10 tulitoka dar saa 12 na gx 110 kwenda songea kupitia lindi ebhana bro alikua anafukuzana na basi mkuu tumeingia songea saa 11 mark 2 grande usifananishe na ist japo mm sio mtu wa magarMi niko kwa gx 100 mark 11 speed 120 nikachongwa na ist old model ya cc 1290
alteza 3sge ndo hiyo yenye cc 3000?1Hz yenyewe haifui dafu ata kidogo.... HP 129 unamfukuza nani? Altezza 3sge ina 200Hp. Yaani ata njia haoni alteza imepita wapi....
so altezza ikifika hizo kilomita inabidi ubadili engineYote yanakimbia inategea matumizi na barabara ikoje
-kwenye lami land crusar itaachwa
Kwa barabara ya vumbi mfano kilombero mpk Ifakara Arteza ikifata Land cruser ...Arteza utaikuta kwenye mashamba ya miwa
Ikini pia zimetengenezwa kwa matumizi tofauti, na uimara tofaut
Mfn. Land C inaweza kufika 300,000km nabado ukawa ujapiga injini chini wakat Arteza ikifika 200,000km ndo imefika 90% ya maisha yake
what do you mean by saying BHP.nipe somo kidogo hapohapo tunaangalia engine BHP... hizo cruiser kama hyo haizidi 140 BHP alafu a normal altezza with a stock engine 1G-fe inafika hadi 180+ BHP so hapo hyo cruiser itaishia kusoma plate number za tezza
horse power,torque na curb weight vina affect vipi acceleration ya gariSioni mtu anayenipa horsepower, torque na curb weight figures. Hivi ndio vitu vitavyodetermine which is the fastest off the line (acceleration) and which has a larger top speed.
2000 CCalteza 3sge ndo hiyo yenye cc 3000?
naona mnaongea ongea tu...my highest driving speed ilikua 120km/hr niliendesha kama dk 5 au 7 hivi nikasikia ule wimbo wa KKKT wa si mbaliiiiiii...karibuuuuuu tutafika ma sisi hukoooo...nikarudi 80...pamoja na ujasiri 180 sio mchezo arifu ...labda kama mimi cjui magari ...mimi nadhani zote ziko sawa labda tofauti ni tafsiri ya dereva kwenye dashboards... haya mabasi ya mikoani kuna baadhk yanafikaga 140 unasikia abiria wote wanakemea mapepo..wacheni masikhara na hizo no hapo kwa dashboards
hii yenye cc 3000 ina maajabu yapi?2000 CC
Hakuna 3sge yenye cc3000. Wewe unazungumzia 2jzge ndio yenye cc3000 na unaikuta kwenye Lexus is300/AS300.hii yenye cc 3000 ina maajabu yapi?
Mark Ii grand kiboko yaoHiyo gari mbovu mkuu amini kwamba mwaka jana novembar 10 tulitoka dar saa 12 na gx 110 kwenda songea kupitia lindi ebhana bro alikua anafukuzana na basi mkuu tumeingia songea saa 11 mark 2 grande usifananishe na ist japo mm sio mtu wa magar
Mbio mtu unawahi wapi?kwel kk sema watu hawazijuagi tu hiz gar, off road labda ndo utapenda ila lami haisimami
na wakumbuke sio kila hardtop ama pick up ndan kuna 1hz some tymz unaeza kuta kinu ni 1VD FTV au 3UR FE daaaadeq huu ni moto mwingne kabsa we na teza yako utapindisha c.head hahaaaa 😀
😂😂😂😂😂😂😂😂uzi ufungwe tunaona mnaongea ongea tu...my highest driving speed ilikua 120km/hr niliendesha kama dk 5 au 7 hivi nikasikia ule wimbo wa KKKT wa si mbaliiiiiii...karibuuuuuu tutafika ma sisi hukoooo...nikarudi 80...pamoja na ujasiri 180 sio mchezo arifu ...labda kama mimi cjui magari ...mimi nadhani zote ziko sawa labda tofauti ni tafsiri ya dereva kwenye dashboards... haya mabasi ya mikoani kuna baadhk yanafikaga 140 unasikia abiria wote wanakemea mapepo..wacheni masikhara na hizo no hapo kwa dashboards
noma sana.hivi ukiwa na horsepower kubwa gari ndo inakuwa nyepesi auHakuna 3sge yenye cc3000. Wewe unazungumzia 2jzge ndio yenye cc3000 na unaikuta kwenye Lexus is300/AS300.
Maajabu ya hio engine, ni pale utakapokuwa upo tayari kuwekeza kwenye perfomance. vile vile ilivyo, ukiweka turbo, unaweza kupata 400hp bila kubadilisha kitu chochote ndani. Watu wana 2000HP na hio engine.
Ukiambiwa gari ina horsepower 200, ni sawa na hio gari yako imefungwa farasi 200 halafu waivute. Sasa hapo inategemea hao farasi 200 ulokuwa nao wanavuta mzigo gani. unaweza ukawa na farasi 200 lakini wanavuta container ukapitwa na kuachwa mbali na mwenye farasi 80 ambae wanavuta kiboxnoma sana.hivi ukiwa na horsepower kubwa gari ndo inakuwa nyepesi au