Kati ya Land Cruiser hizi za polisi na hizi Altezza zipi zinazokimbia sana?

Unaweza pewa Range Rover Evoque na bado ukakamatwa cha msingi ondoa hofu halafu jua panga gia kwa wakati chukua gari ingia kazini!...
Usisahau kuja mchangia M.Mello jukwaani!.
 
Yote yanakimbia inategea matumizi na barabara ikoje
-kwenye lami land crusar itaachwa
Kwa barabara ya vumbi mfano kilombero mpk Ifakara Arteza ikifata Land cruser ...Arteza utaikuta kwenye mashamba ya miwa
Ikini pia zimetengenezwa kwa matumizi tofauti, na uimara tofaut
Mfn. Land C inaweza kufika 300,000km nabado ukawa ujapiga injini chini wakat Arteza ikifika 200,000km ndo imefika 90% ya maisha yake
 
Reactions: y-n
Hata ukiwa na toyota wish tu hiyo landcruiser haikupati...
 
Mi nahisi unataka kufanya tukio kwa kutumia gari la Alteza unataka kujua namna gani utawakimbia polisi. Anyways, mi naonaga Alteza inapiga makelele tu ila iko palepale utadakwa fasta
Hayo ya kwako.
 
Mi nahisi unataka kufanya tukio kwa kutumia gari la Alteza unataka kujua namna gani utawakimbia polisi. Anyways, mi naonaga Alteza inapiga makelele tu ila iko palepale utadakwa fasta
Yaani ubongo wako umekaa ki wizi wizi tu!
 
Haha eti altezza utaikuta kwenye mashamba ya miwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Majizi hayapotei. Haya baba kaibe tu ipo siku yako na ki altezza chako
 
 

We wachokoze ndo utajua kati ya Alteza, LC mkonge na Risasi kipi kitakacho kudaka mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…