Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
altezza yako wewe ni engine gani?wewe ndio wale wanaosema 6 inakimbia kuliko 4 cylinders. Au 6 inakunywa kuliko 4
Ukichorewa 200kph pale kwenye speedometer usifikiri kama ile ndio spidi ya mwisho ama gari inaweza kufika hapo kirahisi. Hio Altezza yenye 180, kwa taarifa yako tu, inavuka mshale mpaka inataka kujirudia izunguke tena, hio ni ALtezza ya kawaida 3sge na haina mods zozote ile. CC kubwa manake sio kwamba inakwenda mbio kuliko yenye cc ndogo.
ninazo mbili, moja ni 3sge, na nyengine ilikuwa na 1gfe lakini nimetoa mashine nimeweka 2jzge, ila wiring imekuwa ngumu mpaka sasa, nna wasiwasi mafundi wamezingua kitualtezza yako wewe ni engine gani?
engine za 2JZ GE zipo mtaani?ninazo mbili, moja ni 3sge, na nyengine ilikuwa na 1gfe lakini nimetoa mashine nimeweka 2jzge, ila wiring imekuwa ngumu mpaka sasa, nna wasiwasi mafundi wamezingua kitu
Subaru na altezza ipi inafurahisha kuendesha?Inawezekana, ila sioni mtu akifanya hivo. Hakuna izo kits za ku convert AWD to RWD labda kwa special vehicles na sio rahisi izo kits.
kwa hapa Tanzania, izi engine ni tabu sana, mimi niliranda ilala kutafuta distributor yake tu mpaka nikachoka, sema nkapata bahati kuna jamaa mmoja alikuwa nayo engine nzima lakini alikuwa anavunja (yaani ukitaka kitu kwenye engine anakutolea), yangu haina vvti. Yenye vvti unaweza ukabahtika kuipata, ila apo ilala nlicheki cheki sikuona 2jzge nimekuta wanazo 2jzfseengine za 2JZ GE zipo mtaani?
zote fresh. Ila naona subaru ina sifa ya kuharibu headgasket. Binafsi napendelea Altezza ina munekano mzuri.Subaru na altezza ipi inafurahisha kuendesha?
hiyo engine ya 2JZ GE uliyoibahatisha kwa huyo mchizi ndo uliyoichukua ukaibadilishia kwako ?hiyo 2jz fse performance yake vipi?kwa hapa TZ, izi engine ni tabu sana, mimi niliranda ilala kutafuta distributor yake tu mpaka nikachoka, sema nkapata bahati kuna jamaa mmoja alikuwa nayo engine nzima lakini alikuwa anavunja (yaani ukitaka kitu kwenye engine anakutolea), yangu haina vvti. Yenye vvti unaweza ukabahtika kuipata, ila apo ilala nlicheki cheki sikuona 2jzge nimekuta wanazo 2jzfse
kati ya 2JZ fse na 1FG ipi nzuri?kwa hapa TZ, izi engine ni tabu sana, mimi niliranda ilala kutafuta distributor yake tu mpaka nikachoka, sema nkapata bahati kuna jamaa mmoja alikuwa nayo engine nzima lakini alikuwa anavunja (yaani ukitaka kitu kwenye engine anakutolea), yangu haina vvti. Yenye vvti unaweza ukabahtika kuipata, ila apo ilala nlicheki cheki sikuona 2jzge nimekuta wanazo 2jzfse
2jzfse perfomance on stock ni sawa na 2jzge. same block lakini header ndio tofauti. 2zge ni port injection (injectors ziko pembeni) na 2jzfse ni direct injection (injectors zipo katikati ya header). kwenye tuning inatumika 2jzge.hiyo engine ya 2JZ GE uliyoibahatisha kwa huyo mchizi ndo uliyoichukua ukaibadilishia kwako ?hiyo 2jz fse performance yake vipi?
ni 1gfe sio 1fg, 1gfe haina power kama 2jzfse. halafu 1G inakunywa vizuri kuliko 2jzkati ya 2JZ fse na 1FG ipi nzuri?
shukrani kwa informations mzee nimeamua nichukue 1G ili niipige na turbo nianze miseleni 1gfe sio 1fg, 1gfe haina power kama 2jzfse. halafu 1G inakunywa vizuri kuliko 2jz
1G usihangaike kuipiga turbo, utatumia hela nyingi power gains kidogo bora uweke 3sge tu.shukrani kwa informations mzee nimeamua nichukue 1G ili niipige na turbo nianze misele
so bora nichukue 3sge hii 3sge ina hp ngapi?1G usihangaike kuipiga turbo, utatumia hela nyingi power gains kidogo bora uweke 3sge tu.
1G ina 160HP, kufika 200HP utajikuta bora pesa tangu mwanzo ungenunua io 3sge.
Mimi 2jzge yangu naitoa mana uku zenjy sijapata control box ya kujaribia narudisha 1G.
197 - 207hpso bora nichukue 3sge hii 3sge ina hp ngapi?
shukran mzee ntaleta mrejesho197 - 207hp
Alteza haiwezi kuhimili speed kubwa kwa mda mrefu kama ambavyo cruiser itafanya.wewe ndio wale wanaosema 6 inakimbia kuliko 4 cylinders. Au 6 inakunywa kuliko 4
Ukichorewa 200kph pale kwenye speedometer usifikiri kama ile ndio spidi ya mwisho ama gari inaweza kufika hapo kirahisi. Hio Altezza yenye 180, kwa taarifa yako tu, inavuka mshale mpaka inataka kujirudia izunguke tena, hio ni ALtezza ya kawaida 3sge na haina mods zozote ile. CC kubwa manake sio kwamba inakwenda mbio kuliko yenye cc ndogo.
Nani kakwambia ivo? Altezza inakwenda 180+ kwa mda mrefu bila wasiwasi. Izo zenu ni story za maskani tu.Alteza haiwezi kuhimili speed kubwa kwa mda mrefu kama ambavyo cruiser itafanya.
Sijui kama unajua tofauti ya cylinder 6 na cylinder 4Nani kakwambia ivo? Altezza inakwenda 180+ kwa mda mrefu bila wasiwasi. Izo zenu ni story za maskani tu.
Kama unaona labda ita overheat, nikutoe wasiwasi, upepo unaoipiga gari wakati upo 180+ ni mkali sana na unatosha kuipoza mashine.
Wenye BMW M4 tunawatazama tu wazeemnavyo parulanaSijui kama unajua tofauti ya cylinder 6 na cylinder 4