Hizo ni number za cylinder tu mjomba. Kuna magari yana cylinder nane na hayafui dafu kwa Altezza. Wingi wa cylinder sio nguvu ya gari.
Kuna gari mpya imetoka ya kampuni ya Koenigsegg, The Gemera, ina cylinder 3 tu na ina horspower 600. Hio Cruiser kabla haijaondoka mnyama haonekani tena ata njia alopita.