Mfumo wa Ujamaa haukutaifisha tu mali bali pia Ulileta njaa pamoja na kuzorotesha maendeleo kiujumla. Na kubwa zaidi mwisho wake alifeil kwenye ile project yake. Na ndio ilikua moja ya sababu kuu ya yeye kung'atuka. Nchi ilihitaji mabadiliko ili ijiokeo, Na yeye kuweza kula matapishi yake ilikua ni ngumu na ndio mana akaweka mtu mwengine wa kuyafanya hayo.
Tusiwe wapuuzi, Nyerere ndie aliemueka Mwinyi, Na Mwinyi asingeweza kufanya mabadiliko ya sera ya uchumi bila ya Mwalimu kuridhia. Angelikua bado yupo strict ni msimamo wake Angeweza hata kumuondoa Mwinyi madarakani mana nguvu ya kisiasa alikua nayo. Ni ukweli usiopingika alikubali mabadiliko yale. Na kwasababu yeye alishafail.