Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
Hahahaaa kwahiyo ideology ikifeli inamaanisha kuwa mtu hana akili?Hiyo ideology baada kumshinda ndio iliomfanya anga'atuke kwa kuofia aibu. Na ndio akatafuta mtu mwengine akamueka abadilishe policy za nchi.
Kwa mantiki hii basi hata Karl Marx alikuwa hana akili.
Unaonekana una upeo mdogo sana wa kufikiri na unadaka maneno ya vijiweni.
Hata hivyo ideology yake haikufeli 100% ilikuwa na mafanikio.