Kati ya Madiba na Mwalimu nani alikuwa zaidi

Kati ya Madiba na Mwalimu nani alikuwa zaidi

Mwalimu alifanya vitu vingi sana kwa ajili ya ukombozi wa Afrika, lkn ipo nguvu kubwa sana ktk kitu kinaitwa msamaha, pale unaposamehe adui zako,mbingu ufunguka na baraka uanza kukuijia juu yako, kitendo alichokifanya Madiba kilimpa mailegy ya umaharufu mkubwa sana duniani.
"Kuna nguvu kubwa sana katika msamaha" wasamehe wrote waliokukosea......
Mbona unaongelea vitu absract sana? Ni kundi gani la watu au taifa kwa ujumla lilofanikiwa kwa kusamehe maadui zake?
 
Hilo swali waulize wazee wawili wapigania uhuru waliobaki mzee KAUNDA wa Zambia na mzee MUGABE hawajawahi kumtambua madiba popote na kila wakipata nafasi kuiambia dunia wanasikitika kwa nini wanamsahau mwalimu na kumtukuza mtu ambaye hakufanya lolote kwenye ukombozi wa nchi nyingine zaidi ya nchi yake??
 
Mwalimu nyerere alipewa madaraka mezani yaani uhuru wa bendera ila Nelson Mandela alikaa gerezani gerezani kupigania uhuru wa taifa lake
Na aliyemsaidia Mandela kupigani uhuru wa watu wake alikuwa nani?
 
Tanzania ipo ilipo kwa sababu ya misingi mibovu ya kiuchumi iliyowekwa na mwalimu.
Caring for Africa?? Inatufaidisha nini Leo? Umeskia raia wa south Africa kuzamia bongo kutafuta maisha?? Ni Sisi ndio tunaelekea huko.
Kila unaloshika halishikiki ndani ya Tanzania, na hii ni kukuonyesha kwamba muasisi alikosa maono. Lichama lake alilolianzisha ndio hili mnaliona ilimradi balaa juu ya balaa
😂😂😂 unachekesha bora ukawe comedian. Hao watu weusi ambao Mandela aliwapigania wanamaisha gani mazuri? Majority yao ni kama sisi tu tena bora hata sisi tunasimama na ka nchi chetu bila msaada wa Makaburu.
Hao watu Mandela aliowapigania wangekuwa wana maisha mazuri wasingekuwa wanaogopa foreigners tena Waafrika wenzio.
 
When was the last time you visited SA??
 
Mchango upi wa mwalimu mkuu Wakuitia nchi ufukara au? Katawala nchi miaka 20 kaicha nchi na watu wajinga na fukara kutoka wananchi wake mpaka seekali yake.
Hivi wewe unajua dhiki ya civil wars? Unaelewa vizuri outcomes za tribalism?
Eheeee ebu niambie hao watu weusi huko SA Mandela aliokuwa anawapigania wanamaisha gani mazuri?
 
Kitendo cha kuwasamehe waliomtesa ndicho kinampa heshima kubwa sana """Madiba""
 
Mchango upi wa mwalimu mkuu Wakuitia nchi ufukara au? Katawala nchi miaka 20 kaicha nchi na watu wajinga na fukara kutoka wananchi wake mpaka seekali yake.
Pole kwa ujinga wa ubongo ulio nao
 
Hivi wewe unajua dhiki ya civil wars? Unaelewa vizuri outcomes za tribalism?
Eheeee ebu niambie hao watu weusi huko SA Mandela aliokuwa anawapigania wanamaisha gani mazuri?

Akili yako imelewa Ujinga wa Lumumba, Samahani kama litakukera lakini huo ndio uhalisia.

Huwezi fananisha kabisa SA na TZ
 
Katika moja ya vitu ambavyo huwa sivielewi toka kwa waTZ wachache ni mawazo km haya. Hivi kweli mtu mwenye akili sawia anawezaje kufikiria jambo kama hili?

Hivi ukiulizwa kuhusu jinsi gani Nyerere alilitia umaskini/ufukara taifa la TZ utaweza kuelezea kwa ufasaha? Tusiwe km sponge

Waulize wazee walioishi miaka ya Nyerere na kabla au baada ya utawala wake watakupa majibu mazuri mkuu.

Sisi watanzania ni maskini na wajinga wakutupwa kabisa na sababu kuu ya umaskini wetu ni CCM. Na nyerere anamkono wake zaidi ya 60 percent kwenye hili. Nyerere alikua ni failed as president, alishindwa nchi kuipa maendelea, na wala kutengeneza misingi ya maendeleo.
 
Sio vizuri kuwalinganisha.
Ila Kamabarage ni kiboko. Alikuwa na mapungufu sana ila alijitahidi.
Chezea mtu anaye come up na ideology yake mwenyewe inayosomwa na vyuo mbali mbali duniani.

Hiyo ideology baada kumshinda ndio iliomfanya anga'atuke kwa kuofia aibu. Na ndio akatafuta mtu mwengine akamueka abadilishe policy za nchi.
 
Tanzania ipo ilipo kwa sababu ya misingi mibovu ya kiuchumi iliyowekwa na mwalimu.

Caring for Africa?? Inatufaidisha nini Leo? Umeskia raia wa south Africa kuzamia bongo kutafuta maisha?? Ni Sisi ndio tunaelekea huko.

Kila unaloshika halishikiki ndani ya Tanzania, na hii ni kukuonyesha kwamba muasisi alikosa maono. Lichama lake alilolianzisha ndio hili mnaliona ilimradi balaa juu ya balaa

Mkuu hawa wamelewa na Matongo Pori ya Lumumba
 
ila mwalimu alitoa mchango mkubwa katika ukombozi wa nchi za Afrika na south africa ikiwemo
alitoa hadi rasilimali za nchi yake ili kusaidia Afrika. He saw the bigger picture

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo rasilimali za nchi yetu zingetumika katika kutuletea sisi wenyewe maendeleo basi pengine tungekua mbali saivi. Kazi yake ilikua ushambenga wa kujiingiza kwenye mambo ya watu wakati yake mwenyewe yanamshinda.
 
Mwalimu nyerere alipewa madaraka mezani yaani uhuru wa bendera ila Nelson Mandela alikaa gerezani gerezani kupigania uhuru wa taifa lake

Rekebisha kauli mkuu, ni Uhuru wa watu wake. Mana taifa lilikuepo.
 
Akili yako imelewa Ujinga wa Lumumba, Samahani kama litakukera lakini huo ndio uhalisia.
Huwezi fananisha kabisa SA na TZ
Hujielewi na una mihemko.
Hao wenye maisha mazuri huko SA ni native Africans?
Kwanza unapajua vizuri SA?
 
Back
Top Bottom