Kati ya Madiba na Mwalimu nani alikuwa zaidi

Kati ya Madiba na Mwalimu nani alikuwa zaidi

Kudeal na vijana walioshiba mafunzo ya Lumumba ni kujuimiza kichwa
Hhahaaaa lol umeshindwa kujibu hoja umeni attack na u Lumumba.
Naomba usinihusishe kwenye siasa zenu uchwara. Tena we ndo unaonekana umekuwa brainwashed.
 
Mwalimu siyo nguzo kuu ya umaskini Tanzania. Factors zipo nyingi tu, na ukilinganisha na nchi nyingine za Kiafrika tupo well off.
Tena ninachoweza kumpongeza mwalimu ni kuweza ku maintain amani na kuepuka ukabila unayopelekea madhara makubwa zaidi.

Hizo ndizo fikra zenu zilovyoharibiwa na CCM, kuaminishwa kuwa Amani, Utulivu sijui ukabila, udini halafu mkajiona mupo kwenye maendeleo ya kijamii, Poleni sana.

Amani ipi unayoizungumza nchi imejaa wizi na vibaka hiyo ndio amani?
 
😂😂 sijui alitaka baba yake ndo awe raisi wa kwanza Tanzania. Yaani watu wanamchukulia Mwalimu poa.

Sina tatizo naye lolote, Tatizo langu lipo kwenu mnaolazimisha kutuminish kama alikua Saint . Wakati alikua kiongozi mbovu.
 
Ninachojua tulipoteza muelekeo baada ya vita ya kagera, vita ambayo hata yeye hakuitaka maana alijua baada yake shida tutakazopata. Na alituambia kabisa tujifunge mkanda. Soma hapa uone kwamba jamaa alikuwa anapigana na watu wakubwa sana.

Tanzania ipo ilipo kwa sababu ya misingi mibovu ya kiuchumi iliyowekwa na mwalimu.

Caring for Africa?? Inatufaidisha nini Leo? Umeskia raia wa south Africa kuzamia bongo kutafuta maisha?? Ni Sisi ndio tunaelekea huko.

Kila unaloshika halishikiki ndani ya Tanzania, na hii ni kukuonyesha kwamba muasisi alikosa maono. Lichama lake alilolianzisha ndio hili mnaliona ilimradi balaa juu ya balaa
 
Hata yvonne chakachaka alivokuja juzi kati alithibitisha hayo yote.
offcourse mwalimu ni zaidi ya madiba kwanza mwalimu mwenyewe alim coach madiba ss tamgu lini mwanafunzi ashindane na mwalimu wake ..ukisikia sisimizi kumpanda tembo ndio huko. Tz chini ya mwal. tuliwasaidia sana nchi na wapigania uhuru akiwepo madiba,..yaani mwalimu ali risk na kuifanya tz kama chuo cha kuwanoa wapigania uhuru hili lipo wazi..... historia inajua ilo...kuanzia madiba, thabo mbeki, samora masheli, and mention other in southern africa walipita hapa TANZANIA ikiwa chini ya mwalimu.
 
Shida yake alikuwa baba huruma, He viewed Africa as a whole sio small segments as countries na yeye na Muammar Gadaffi walikuwa na same dream ndio maana hata Gadaffi alikuwa anamuheshimu sana. Shida ni ubinafsi wa watawala wengine wa kiafrika
Hizo rasilimali za nchi yetu zingetumika katika kutuletea sisi wenyewe maendeleo basi pengine tungekua mbali saivi. Kazi yake ilikua ushambenga wa kujiingiza kwenye mambo ya watu wakati yake mwenyewe yanamshinda.
 
Unatumia logic hadi naona kama inakuwa wasted kubishana na huyu jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa kwahiyo ideology ikifeli inamaanisha kuwa mtu hana akili?
Kwa mantiki hii basi hata Karl Marx alikuwa hana akili.
Unaonekana una upeo mdogo sana wa kufikiri na unadaka maneno ya vijiweni.
Hata hivyo ideology yake haikufeli 100% ilikuwa na mafanikio.
 
Hizo ndizo fikra zenu zilovyoharibiwa na CCM, kuaminishwa kuwa Amani, Utulivu sijui ukabila, udini halafu mkajiona mupo kwenye maendeleo ya kijamii, Poleni sana.
Amani ipi unayoizungumza nchi imejaa wizi na vibaka hiyo ndio amani?
Nimekuacha na ujinga wako. Kama hujui kutofautisha kati ya uwizi na vita wewe ni level nyingine ya ujinga.
I rest my case.
 
Nimekuacha na ujinga wako. Kama hujui kutofautisha kati ya uwizi na vita wewe ni level nyingine ya ujinga.
I rest my case.

Mjinga ni wewe ulielewa na Propaganda za CCM

Tanzania hakuna vita kwa sababu wananchi wake ni wajinga na woga. Lakini hizo sababu unazoziona zimeanzisha vita nchi nyengine na hapa kwetu zipo kikamilifu
 
sababu gani
Mjinga ni wewe ulielewa na Propaganda za CCM

Tanzania hakuna vita kwa sababu wananchi wake ni wajinga na woga. Lakini hizo sababu unazoziona zimeanzisha vita nchi nyengine na hapa kwetu zipo kikamilifu
 
Kwenye uonevu wa raia alimuonea nani? taja watatu tu
Kwenye umaskini fika pale butiama kwake ndo utaona uzalendo wake, na pia ukumbuke uhuru tuliwahi kuupata wakati nchi zingine zimepata uhuru huku mkoloni ameshafanya mambo mengi
Wizi wa kura mwalimu aliiba kura gani wakati ilikuwa ni ndio na hapana na kulikuwa hakuna vyama vingi
Mwalimu hakuwahi kung'ang'ania madaraka, tena anasifika kati ya watawala wa africa walioachia madaraka willingly bila shinikizo la mtu yeyote ingawa bado watu walitaka aendelee kutawala

Shida yako unachanganya madesa, unaleta siasa kwenye mambo ambayo hayana siasa, unataka kulazimisha link kati ya Mwalimu na chama tawala cha sasa huku mambo mengi yanayofanyika mwalimu aliyapiga vita sana, mfano Rushwa.
Uonevu kwa raia
Umaskini
Wizi wa kura
Kunga'ngaia madaraka hali yakua wananchi hawataki.
 
Kwenye uonevu wa raia alimuonea nani? taja watatu tu
Kwenye umaskini fika pale butiama kwake ndo utaona uzalendo wake, na pia ukumbuke uhuru tuliwahi kuupata wakati nchi zingine zimepata uhuru huku mkoloni ameshafanya mambo mengi
Wizi wa kura mwalimu aliiba kura gani wakati ilikuwa ni ndio na hapana na kulikuwa hakuna vyama vingi
Mwalimu hakuwahi kung'ang'ania madaraka, tena anasifika kati ya watawala wa africa walioachia madaraka willingly bila shinikizo la mtu yeyote ingawa bado watu walitaka aendelee kutawala

Shida yako unachanganya madesa, unaleta siasa kwenye mambo ambayo hayana siasa, unataka kulazimisha link kati ya Mwalimu na chama tawala cha sasa huku mambo mengi yanayofanyika mwalimu aliyapiga vita sana, mfano Rushwa.

Mulizungumzia amani amani na utulivo, na ndio nikakwambia sababu zote zinazochafua amani nchi nyengine na hapa zipo .

Mwamlimu hakung'angania madaraka miaka 22 ya uraisi ilikua ni kidogo sana

Hivi hufahamu kama Nyerere ndie aliengilia uchaguzi wa Zanzibar 1995 na akabadilisha matokeo ya uraisi baada ya CCM kushindwa?

Msingi mbovu wote wa nchi yeye ndie aliundaa kutoka kututengenezea CCM inayotutawala mpaka na vitongoji vyake. Hivi nani alieifanya TISS, JWTZ na jeshi la Polisi kuwa ni watiifu kwa CCM badala ya Nchi? vyombo vya ulinzi vyote vinavitumkia CCM badala kutumuikia wanaanchi.

Hivi uliwahisikia kuhusishwa kwa Nyerere kwenye mauaji ya Karume?

22 years na bado nchi ukaicha kwenye ufukara ni aibu kubwa. Sijui munatetea nii kwa kweli hapo.

Unazungumzia uonevu wa raia? Unajua ni wangapi aliwaseka magerezani kwa kua walipinga idea zake tu ? Tafuta kitabu cha I was Nyerere's prisoner ujisomee kwa kuanzia.
 
Hajawahi tokea kama Mwalimu Africa. Level zake ni akina Martine Luther JR, Malcom X etc.

Ukombozi karibu wa Nchi zote kusini mwa Jangwa la Sahara ulifanywa na Mwalimu isitoshe kulikuwa na mapinduzi mengi kipindi hicho lakini Mwalimu alifanikiwa azma yake ya kuikomboa Afrika yote kutoka minyororo ya kikoloni.

Nchi kama Afrka Kusini, Angola, Namibia, Zimbabwe, Mozambique ziltegemea sana harakati za Nyerere Kijeshi, Kiuchumi, Kimbinu na Kimafunzo ya Medani.

Mwalimu hawezi kufananishwa na yeyote fir the sake if Africa. Hata akina Nkurumah wa Ghana wanasubiri maana walipinduliwa mapema kabla hata hawajafanikiwa kuikomboa Africa ila Simba Nyerere alifanya mpaka mwisho.

Hakuna Nyerere mwingine siku hizi kuna kasumba ya kumfananisha Nyerere na vitu vya kijinga hapa Tanzania hawana adabu.

Kuiunganisha Nchi sio jambo jepesi hata kidogo ndio maana popote unapoenda Tanzania unaishi vizuri watu hawana mambo ya ukabila zaidi yamebaki kwa Waarusha, Wamaasai na Wachagga kwa mbali.

Utulivu uliopo mbali na chokochoko za viongozi wetu kutuchokoza sana ni kwasababu ya Leagacy ya Nyerere ya Udugu na Ujamaa.

Madhaifu hayawezi kosekane kwa binadamu but at least kwa miaka ile Nyerere alijitahidi sana sana sana. Mzalendo wa kweli sio kama hawa walinda madaraka na maslahi binafsi kwa kuleta ukabila, uchama kusingizia uzalendo ujinga.

Mungu amhurumie zambi zake ampe uzima wa milele.

Raha ya milele umpe ee Bwana na Mwanga wa Milele umwangazie.

Apunzike kwa Amani.

Amina.
 
Jamani hiki kitu nimekuwa nikikiwaza kwa muda mrefu sana, hivi kati ya Mwalimu na Mandela nani alitoa mchango mkubwa zaidi?
Kwa fikra zangu nijuavyo mimi, Nyerere alitoa mchango mkubwa sana. Lakini sasa mbona hajulikani na havumi huko nje kama namna Madiba anavopewa sifa? Narudia tena hii ni kwa elimu ya historia niliyonayo na fikra zangu hivo sijaongelea mawazo ya mtu.
Naombeni tueleweshane, ni nani alitoa mchango mkubwa Africa?

Nawasilisha.
Black.
Hapa sitafuni maneno. Mwalimu alitoa mchango sana sana. Hata Madiba alipata mchango kutoka kwa Mwalimu. Kuvuma kwa Madiba ni zawadi kutoka kwa mabeberu na vibaraka wake kwa kuwa aliwasitiri wakati utawala wake. Walitegea angelipiza kisasi. Mwalimu havumi kwa sababu wavumishaji ni haohao mabeberu na kila wakati alikuwa akiwararua kwa maneno yenye kina kirefu.
 
Mzungu akiamua kukupaisha anakupaisha tu na hakuna atakayepinga. Hata akiamua kuwa hii thread yako ndio thread bora ya mwaka kutoka kwenye forums zote duniani itakuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom