Kati ya maji ya mvua na maji ya chemchemi, yapi ni masafi zaidi?

Kati ya maji ya mvua na maji ya chemchemi, yapi ni masafi zaidi?

Hiyo ni thesis yA PhD ....wasomi chukua hiyoooo kwa upembuziiiii......kuna Prif moja alifanyia mihogo....kuwa mitamu michungu kutokana udongo sehemu tofauti.....na sehemu sawa....mbegu sawa
 
Hakuna yaliyo bora zaidi pasopo na vigezo.
Kwa ndani maji ya mvua huchafuliwa na kemikali za angani (gesi, vumbi, moshi, n.k).
Pia maji ya chemchem yanaweza kuwa3 yanapita kwenye miamba yenye kemikali kama sulphur, n.k ambazo ni hatari kwa afya
 
Back
Top Bottom