Kati ya Mama na Mke Nani anapaswa kukaa Siti ya mbele wakati unaendesha Gari?

Tatizo la umasikini na wazazi wasiojielewa.
Kila mtu akae mbele kwenye gari ya mme wake
 
Mkeo, period. Mama anakaa mbele kwenye gari la baba.
 
Mke anastahili kukaa mbele kwani hata sie tulipokuwa wadogo Mama yetu alikuwa anakaa mbele na baba, na sasa nimeoa mke wangu anakaa mbele na Mama anakaa nyuma na wajukuu zake.
 
Je kwa mwenye baiskeli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…