Kati ya mambo hayo, Kidedea na Kaole nani walibamba zaidi tasnia ya michezo ya kuigiza?

Kati ya mambo hayo, Kidedea na Kaole nani walibamba zaidi tasnia ya michezo ya kuigiza?

Kaole sanaa group limetoa 90% ya Bongo movie super star wa nchi hii pamoja na Mcs na watangazaji wa redio na TV kwa kiasi chake. Kwa upande wangu kaole niliwakubali zaidi hasa lile tamthiliya yao ya Muhogo Mchungu anamuozesha mwanae aliekuwa mwali Nyamayao kwa mzee Pwagu(RIP). Familia ilikuwa haijakubali jambo hilo hasa ikizingatiwa umri wa Mzee Pwagu kwa Nyamayao ni kama mtu na mjukuu wake. Alichofanya Muhogo Mchungu alikula pesa ya Mzee Pwagu halafu siku ya sherehe ya kumtoa mwali Nyamayao katikati yard sherehe Muhogomchungu anamuiba mwali kwa kumbeba mgongoni na kumpelekea mkwewe Mzee Pwagu.
Halafu yeye anaenda kubembelezwa kwa bistaa
 
nakumbuka 2004 kaole walikua na igizo linaitwa Gharika ambayo masta kanumba alicheza na ray na johar,nafikir hata movie ya Johar yote walikopi ktk igizo hili..jumamosi moja saa tatu ucku tuliibiwa godoro jipya kutokana na nyumba nzima hadi ya jirani kuhamia sebureni kwetu bila kuwa na umakini na milango ya vyumba
Wakishuaaa
 
pwagu,jengua, nyama yao,kibakuli,swebe,sinta,dr cheni,bi mwenda,cathy,nora,biko,kibakuli,bi star,tabia,

daah kaole ni jiko na limepika wengi
 
pwagu,jengua, nyama yao,kibakuli,swebe,sinta,dr cheni,bi mwenda,cathy,nora,biko,kibakuli,bi star,tabia,

daah kaole ni jiko na limepika wengi
Ongeza na hawa hapa; Ray, Kanumba (RIP), Biko, Simalenga, Kipemba, Pembe, Nova, Max(RIP), Zembwela, Bambo, na wengineo! Ila kwenye list yako watoe Jengua na Tabia maana wao walikuwa Kidedea!
 
Salaam,
We can all agree that michezo ya television for now imepoteza taste kabisa si kama zamani. Enzi zile hadi wazazi walikua wakifuatalia michezo hii. Watu kama kina bishanga bashaija, Cathy, rich, mzee jengua, tabia(rip),kibakuli,Nina,swebe,anti seche, Dr. Cheni, kisa, mhogo mchungu etc. Walikonga nyoyo za mashabiki wengi wa tasnia hii. Swali linakuja, je katika makundi yote haya unahisi kundi gani lilitisha zaidi na waigizaji gani walikukosha zaidi? Hebu tutiririke.....
Kaole.... walikuwa faya, hadi leo bado kuna watu wako kwenye bongo movie walitokea kaole
 
Nakumbuka bupe alikua na ukimwi ,mpenzi wake alikua biko,yani nilijua kweli anaukimwi

Na kisa alikua mlemavu ,,mashaka( rip) akamkataa mana alitafutiwa akiwa masomoni,,Dr cheni akamuoa kisa na ulemavu wake,,aisee nilijua ile harusi ni kweli
daah kuna ile kuna twin mashaka
 
Chaajabu hiyo michezo saiv uki itafuta YouTube hata ukumbushie enzi huipati asee tatizo sijui nini
 
Wakati huo ITV ikatuleteaga tamthilia moja ya Kenya inaitwa Tausi... Uko tulimjua Mjuba, Siti na wengineo... daaah those days aiseee
Daah! Wakati unakimbia na enzi pia hazirud nyuma. Hatari Sana enzi zile.
 
Nakumbuka bupe alikua na ukimwi ,mpenzi wake alikua biko,yani nilijua kweli anaukimwi

Na kisa alikua mlemavu ,,mashaka( rip) akamkataa mana alitafutiwa akiwa masomoni,,Dr cheni akamuoa kisa na ulemavu wake,,aisee nilijua ile harusi ni kweli
Biko(iddi ligongo) siku hizi yupo redio umoja wa mataifa new york marekani akitokea sauti ya america(VOA)
 
tukubali tu,kama taifa tunafeli sana.

wakati huo pamoja na soko la filamu za kinigeria kiwa juu sana hapa nchini lakini bado sanaa ya filamu na maigizo ilibamba sana.tuliweza kupambana nao japokuwa wanigeria walifanya kazi zenye maudhui haya haya.

lakini leo hii,tamthilia za kikorea na kifilipino zisizo na uhalisia hata 3℅ zimefanya wasanii wetu wapoteane kabisa,ukimuuliza mlaji anakwambia hawezi angalia bongo movie waongo sana,wakati huko kwa wafilipino kuna scene ya samaki mtu anayepaa angani[emoji849][emoji849][emoji849][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Nakumbuka bupe alikua na ukimwi ,mpenzi wake alikua biko,yani nilijua kweli anaukimwi

Na kisa alikua mlemavu ,,mashaka( rip) akamkataa mana alitafutiwa akiwa masomoni,,Dr cheni akamuoa kisa na ulemavu wake,,aisee nilijua ile harusi ni kweli
Umenikumbusha sana hilo igizo lilitwa maisha, na nyimbo yake ya "maisha ya Sasa sio kuzurura bila kibarua".
 
Back
Top Bottom