othiambo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 1,995
- 2,795
Halafu yeye anaenda kubembelezwa kwa bistaaKaole sanaa group limetoa 90% ya Bongo movie super star wa nchi hii pamoja na Mcs na watangazaji wa redio na TV kwa kiasi chake. Kwa upande wangu kaole niliwakubali zaidi hasa lile tamthiliya yao ya Muhogo Mchungu anamuozesha mwanae aliekuwa mwali Nyamayao kwa mzee Pwagu(RIP). Familia ilikuwa haijakubali jambo hilo hasa ikizingatiwa umri wa Mzee Pwagu kwa Nyamayao ni kama mtu na mjukuu wake. Alichofanya Muhogo Mchungu alikula pesa ya Mzee Pwagu halafu siku ya sherehe ya kumtoa mwali Nyamayao katikati yard sherehe Muhogomchungu anamuiba mwali kwa kumbeba mgongoni na kumpelekea mkwewe Mzee Pwagu.