Kati ya Manyoni, Mpanda na Morogoro (Ifakara, Mvomero na Gairo) ipi sehemu ya kutoboa kimaisha?

Vp maduka ya madawa papoje?
 
Mkuu
Mimi nimetoka morogoro na kuja kupiga kambi manyoni, kwa ufugaji hasa wa kuku karibu manyoni, kwa kilimo pita morogoro, manyoni kilimo ni gharama sana,
 
Kila sehemu uliyotaja ni nzuri sana endapo unafocus na plan zako haitokuchukua miaka mingi kusimama imara isipokuwa kwa uzoefu wangu

Mpanda, pamepoa sana. Mlipuko wa magonjwa na muingiliano na wakimbizi ni mkubwa sana lakini pia usalama wa afya na mali ni mdogo

Ifakara, kipindi cha mvua utapachukia mno maana sio kwa mafuriko yale, pia huduma za afya ni mbovu sana. Joto ndiyo balaa

Gairo, pamepoa sana, wenyeji wana wivu sana, vumbi la pale utalikimbia, mpangilio mbaya wa mji, vyakula havieleweki

Mvomero, nilichoshwa na mafuriko tu ila kila kitu bye sana

Nb:
Pafikirie na Kahama na maeneo jirani na pale ni wilaya nzuri sana na inatoa kimaisha chap tu ukiwa bz na unachokifanya
 
Maeneo ya kununua yapo?

Vp bei zake kwa heka?
 
Nakubali mkuu.
 
Ya Eah kahama ipo poa sana! Ila kwa mazingira ya vijijini kahama papoje? Hususani kwenye maduka ya dawa mkuu
 
Ila sehemu Ambazo kuna magonjwa mie ninapo hitaji ili nipige hela kwenye madawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…