Kati ya Mawaziri hawa; Nani unadhani atafuata kurejesha nyumba ya Serikali hivi karibuni?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Basing on performance, regarding on challenges in countered since ameingia ofisini na Kwa ujumla ufanisi hafifu; Nani unadhani watoto na familia yake waanze kujiandaa kisaikologia kuondoka kwenye nyumba za Serikali endapo ataendelea kusimamia mikakati ileile na kushughulikia utumbuaji wa watu aliowakuta ofisini badala ya kuwasiadia mission na vision yakuzitoa Wizara hapo zilipo?
1. Profesa Ndalichako
2. Dorothy Gwajima
3. Dr. Jafo
4. Jenister mhagama
5. Ndumbaro
6. January
7. Mwigulu
8. Masauni
9. Bashe
10. Rizi
Hawa Mawaziri speed Yao ya ubunifu hapana, aidha wameshindwa kubeba maono ya wizara wanahitaji kupewa Wizara mbadala au uwezo wao ndo umeishia hapo.

Kama wanasoma hizi posts watambue Wana kazi kubwa ya kufanya utafiti na ku identify gap kwenye Wizara zao Kisha waje na strategy itakayowafanya waonekane wamelifaninyia Taifa Jambo jipya.

Strategy ya kutangaza matumizi ya mgawo wa Fedha wanazopewa siyo sahihi wanapaswa kutuambia wanasaidiaje walipa Kodi Ili Wizara zao ziwe na mgao mkubwa zaidi?

Mikakati ya kuongoza Wizara haiwezi kupatikana Kwa mganga wa kienyeji; inatoka Kwa Mungu Kupitia watu waliokuzunguka pamoja na juhudi za kutumia muda wako kuilinda dhamana uliyopewa. Wapo wengi awamu iliyopita walichanja chale wapate madaraka Lakini wapo benchi; waliomtegemea Mungu wanaendelea kupata iliyohaki Yao bila kujali kuharibu maisha ya wengine.

This is wake up call, jitahidini Ili mama asitoe press release. 2025 it's just around the corner msimkwamishe mama mkawapa wapinzani agenda. Most of you mpo below 50 mnakwama wapi?
 
Tatizo la serikali imayoendeshwa kwa usiri, hata kupima ufanisi wa mtu binafsi na kuutenganisha na matatizo ya kimfumo ni kazi kubwa.

Chukua mfano wa Bashe. Bashe alikuwa na michango mizuri sana bungeni. One of the top MPs I liked to listen to. Bila kujali mambo ya siasa za vyama,kama backbencher alifanya kazi vizuri kuisimamia serikali, kuishauri.

Wakamuona, wakampa wizara.

Juzi nilisikia maongezi ya Balozi wa Umoja wa Ulaya Tanzania, alikuwa anasema kwamba Waziri Bashe ana mipango mikubwa na mizuri ya kilimo ha umwagiliaji.

Sasa inawezekana wanafanya kazi ila kuendesha serikali kwa "security by obscurity kunawagharimu wengine.
 
Tangu iingie awamu ya Tano Mtendaji wa serikali ni mmoja tuu.
Hao wengine ni watu waliobahatika kupata fursa za kula Bata Kwa Kodi ya Watanzania.
Mtendaji ni Rais TU labda kidogo na Waziri Mkuu.

Mawaziri walikua ni Wanne TU mpaka Sasa :-

Lowasa (Maji ) aliibuliwa na Mkapa.
Lukuvi ( Ardhi) aliibuliwa na Kikwete
Magufuli (Ujenzi ) aliibuliwa na Mkapa.
Mrema (Mambo ya ndani) aliibuliwa na Mwanyi.

Magufuli hakuibua Wazirj na Mtendaji mwenye uwezo mpaka anaondoka Duniani!

Mama Samia mpaka Sasa Hana Waziri zaidi ya yeye Mwenyewe kuupiga mwingi lakini Hana wafungaji, ni sawa na Kocha asiye na wachezaji wa uhakika anayeamua kuwa Mchezaji kumsaidia kipa , beki na mshambuliaji; wakati huo huo akiwa kocha. Kuna Mchezaji wa Simba zamani alikua anaitwa Hassan Hafifu alikua anacheza na kumiliki uwanja mzima. Alikua ni kocha Mchezaji.

Angalau kidogo Waziri ambaye akijipanga vizuri anaweza akaimudu kazi yake ni Nape mpaka Sasa angalau anaonyesha kuwa anaweza japo siasa za uchama zimemzidi.Na pia Bado anakashfa ya kushiriki katika kujenga mifumo ya dhulma za kisiasa na kufanya viongozi wasiofaa kupata fursa za kutangazwa washindi Kwa nguvu wakati wa uchaguzi. Hii laana aitubie ili apate Kibali.
Nape akiweka pembeni uchama na kuweka mbele maslahi ya Nchi atakua Waziri Bora sana. Hana Kashifa Wala tamaa za kujimilikisha Mali za dhulma dhulma.
Makonda akirudia shule na kusoma Kwa cheti chake Cha Jina lake halisi la Albert na kuondoa ubini wa Bashite mana Bashite limekua kama msamiati mpya wa mtu mwenye vyeti feki ,atakua ni Kiongozi mzuri aondokana na chuki za kivyama na ajifunze Nini maana ya Demokrasia na uhuru na haki za binadamu kuishi.

Mtu pekee anayeweza kuwa Waziri akàcha Alama ndani ya CCM Kwa Sasa ni Antoni Mtaka RC Dodoma.Napendekeza Anton Mtaka ateuliwe kuwa Mbunge na Kisha apewe Naibu Waziri Wizara ya ujenzi amsaidie Mbarawa kusimamia Hawa TARURA na Tanroad Wajenge Miundo Mbinu za vijijini Kwa Kasi na Kwa viwango .

Gwajima na Mwenzake
Ndalichako
Wanapaswa kuwekwe kwenye kamati ya Elimu na Afya bungeni lakini sio kuwa Mawiri.

Ningekua Rais ningeweka nafasi za uwaziri wazi watu waombe na kila mmoja aseme anaweza kuongoza wizara Gani na ataje changamoto zake na namna atakavyoshughulika nazo. Pawe na kiapo na ajiwekee mwenyewe muda wa kuyatekeleza hayo na asipoyatekeleza achukuliwe hatua Kali ikiwa ni pamoja na kuchunguzwa na akibainika alizembea Kwa sababu ya kushirikiana na mafisadi basi afilisiwe kabisa. Anayefanya vizuri apewe bonasi ya mil. 500 kila Baada ya miaka mitano na wananchi ndio watatoa tathmini ya Waziri Bora. Waziri atalazimika kuwa mbunifu na kuongeza uzalishaji na kubana mianya ya matumizi mabaya ya wizara.

Leo hii ukipita Huko Halmashauri ni vikao TU wiki nzima sijui pesa wanapata wapi za vyakula ,maji na soda halafu Waziri yupo, viongozi wa Chama kwenye Wilaya wapo wanaangalia TU pesa za wananchi zinaliwa Kwa Tenda za kuuza chakula na vinywaji Kwa Mwezi vikao ni zaidi ya siku kumi. Matumizi mabaya ya serikali. Waziri Muhusika apumzike mana hii nchi sio ya ukoo wake Wala ya Babu yake kwamba uwaziri ni urithi wake. Yes. Mawaziri wasiofaa wapumzishwe.
 
Kuhusu Riz hata kama Kuna grievances kwakweli ana mwezi sijui unawezaje kujenga hoja kwamba aondolewe na wakati unaona kila siku yupo field na Waziri wake hata hasikiki. Hii sijui mnaichukuliaje Ila hata kama Kuna mengine Ila kusema aondolewe sioni kama ni sawa ingali hata Waziri wake alichelewa kuapa na hasikiki pamoja labda ndio mpangilio wa kazi walivyogawana.🤷
 
Basing on performance, regarding on challenges in countered since ameingia ofisini na Kwa ujumla ufanisi afifu; Nani unadhani watoto na familia yake waanze kujiandaa kisaikologia kuondoka kwenye nyumba za Serikali endapo ataendelea kusimamia mikakati ileile na kushughulikia utumbuaji wa watu aliowakuta ofisini badala ya kuwasiadia mission na vision yakuzitoa Wizara hapo zilipo ?
1. Profesa Ndalichako
2. Dorothy Gwajima
3. Dr. Jafo
4. Jenister mhagama
5. Ndumbaro
6. January
7. Mwigulu
8. Masauni
9. Bashe
10. Rizi
Hawa Mawaziri speed Yao ya ubunifu hapana, aidha wameshindwa kubeba maono ya wizara wanahitaji kupewa Wizara mbadala au uwezo wao ndo umeishia hapo.

Kama wanasoma hizi posts watambue Wana kazi kubwa ya kufanya utafiti na ku identify gap kwenye Wizara zao Kisha waje na strategy itakayowafanya waonekane wamelifaninyia Taifa Jambo jipya.

Strategy ya kutangaza matumizi ya mgawo wa Fedha wanazopewa siyo sahihi wanapaswa kutuambia wanasaidiaje walipa Kodi Ili Wizara zao ziwe na mgao mkubwa zaidi?

Mikakati ya kuongoza Wizara haiwezi kupatikana Kwa mganga wa kienyeji; inatoka Kwa Mungu Kupitia watu waliokuzunguka pamoja na juhudi za kutumia muda wako kuilinda dhamana uliyopewa. Wapo wengi awamu iliyopita walichanja chale wapate madaraka Lakini wapo benchi; waliomtegemea Mungu wanaendelea kupata iliyohaki Yao bila kujali kuharibu maisha ya wengine.

This is wake up call, jitahidini Ili mama asitoe press release. 2025 it's just around the corner msimkwamishe mama mkawapa wapinzani agenda. Most of you mpo below 50 mnakwama wapi?
Hussein Bashe anawezaje kuwa waziri mbaya kwa mfano ?

Naomba ufafanuzi mahsusi katika hili tafadhali, maana unaweza kuwa umeweka orodha na kutaja majina kwa sababu haufuatilii.

Karibu.
 
Basing on performance, regarding on challenges in countered since ameingia ofisini na Kwa ujumla ufanisi afifu; Nani unadhani watoto na familia yake waanze kujiandaa kisaikologia kuondoka kwenye nyumba za Serikali endapo ataendelea kusimamia mikakati ileile na kushughulikia utumbuaji wa watu aliowakuta ofisini badala ya kuwasiadia mission na vision yakuzitoa Wizara hapo zilipo ?
1. Profesa Ndalichako
2. Dorothy Gwajima
3. Dr. Jafo
4. Jenister mhagama
5. Ndumbaro
6. January
7. Mwigulu
8. Masauni
9. Bashe
10. Rizi
Hawa Mawaziri speed Yao ya ubunifu hapana, aidha wameshindwa kubeba maono ya wizara wanahitaji kupewa Wizara mbadala au uwezo wao ndo umeishia hapo.

Kama wanasoma hizi posts watambue Wana kazi kubwa ya kufanya utafiti na ku identify gap kwenye Wizara zao Kisha waje na strategy itakayowafanya waonekane wamelifaninyia Taifa Jambo jipya.

Strategy ya kutangaza matumizi ya mgawo wa Fedha wanazopewa siyo sahihi wanapaswa kutuambia wanasaidiaje walipa Kodi Ili Wizara zao ziwe na mgao mkubwa zaidi?

Mikakati ya kuongoza Wizara haiwezi kupatikana Kwa mganga wa kienyeji; inatoka Kwa Mungu Kupitia watu waliokuzunguka pamoja na juhudi za kutumia muda wako kuilinda dhamana uliyopewa. Wapo wengi awamu iliyopita walichanja chale wapate madaraka Lakini wapo benchi; waliomtegemea Mungu wanaendelea kupata iliyohaki Yao bila kujali kuharibu maisha ya wengine.

This is wake up call, jitahidini Ili mama asitoe press release. 2025 it's just around the corner msimkwamishe mama mkawapa wapinzani agenda. Most of you mpo below 50 mnakwama wapi?
Yule anayeitwa "Waziri Mkubwa" mbona simwoni kwenye hiyo orodha yako; au kwa vile bado anaamini Magufuli "anachapa kazi, hawezi kwenda Kariakoo"!
 
Huu uzi hauna objectivity bali kueneza chuki ; na hilo liko wazi kwa kuungiza kwenye kundi hilo jina la RIZI ambae hajamaliza hata miezi ya probation toka ateuliwe huo unaibu Waziri wa wizara ya Ardhi!! Give him a chance to prove himself if he is really cut for a ministerial position.
 
Tangu iingie awamu ya Tano Mtendaji wa serikali ni mmoja tuu.
Hao wengine ni watu waliobahatika kupata fursa za kula Bata Kwa Kodi ya Watanzania.
Mtendaji ni Rais TU labda kidogo na Waziri Mkuu.

Mawaziri walikua ni Wanne TU mpaka Sasa :-

Lowasa (Maji ) aliibuliwa na Mkapa.
Lukuvi ( Ardhi) aliibuliwa na Kikwete
Magufuli (Ujenzi ) aliibuliwa na Mkapa.
Mrema (Mambo ya ndani) aliibuliwa na Mwanyi.

Magufuli hakuibua Wazirj na Mtendaji mwenye uwezo mpaka anaondoka Duniani!

Mama Samia mpaka Sasa Hana Waziri zaidi ya yeye Mwenyewe kuupiga mwingi lakini Hana wafungaji, ni sawa na Kocha asiye na wachezaji wa uhakika anayeamua kuwa Mchezaji kumsaidia kipa , beki na mshambuliaji; wakati huo huo akiwa kocha. Kuna Mchezaji wa Simba zamani alikua anaitwa Hassan Hafifu alikua anacheza na kumiliki uwanja mzima. Alikua ni kocha Mchezaji.

Angalau kidogo Waziri ambaye akijipanga vizuri anaweza akaimudu kazi yake ni Nape mpaka Sasa angalau anaonyesha kuwa anaweza japo siasa za uchama zimemzidi.Na pia Bado anakashfa ya kushiriki katika kujenga mifumo ya dhulma za kisiasa na kufanya viongozi wasiofaa kupata fursa za kutangazwa washindi Kwa nguvu wakati wa uchaguzi. Hii laana aitubie ili apate Kibali.
Nape akiweka pembeni uchama na kuweka mbele maslahi ya Nchi atakua Waziri Bora sana. Hana Kashifa Wala tamaa za kujimilikisha Mali za dhulma dhulma.
Makonda akirudia shule na kusoma Kwa cheti chake Cha Jina lake halisi la Albert na kuondoa ubini wa Bashite mana Bashite limekua kama msamiati mpya wa mtu mwenye vyeti feki ,atakua ni Kiongozi mzuri aondokana na chuki za kivyama na ajifunze Nini maana ya Demokrasia na uhuru na haki za binadamu kuishi.

Mtu pekee anayeweza kuwa Waziri akàcha Alama ndani ya CCM Kwa Sasa ni Antoni Mtaka RC Dodoma.Napendekeza Anton Mtaka ateuliwe kuwa Mbunge na Kisha apewe Naibu Waziri Wizara ya ujenzi amsaidie Mbarawa kusimamia Hawa TARURA na Tanroad Wajenge Miundo Mbinu za vijijini Kwa Kasi na Kwa viwango .

Gwajima na Mwenzake
Ndalichako
Wanapaswa kuwekwe kwenye kamati ya Elimu na Afya bungeni lakini sio kuwa Mawiri.

Ningekua Rais ningeweka nafasi za uwaziri wazi watu waombe na kila mmoja aseme anaweza kuongoza wizara Gani na ataje changamoto zake na namna atakavyoshughulika nazo. Pawe na kiapo na ajiwekee mwenyewe muda wa kuyatekeleza hayo na asipoyatekeleza achukuliwe hatua Kali ikiwa ni pamoja na kuchunguzwa na akibainika alizembea Kwa sababu ya kushirikiana na mafisadi basi afilisiwe kabisa. Anayefanya vizuri apewe bonasi ya mil. 500 kila Baada ya miaka mitano na wananchi ndio watatoa tathmini ya Waziri Bora. Waziri atalazimika kuwa mbunifu na kuongeza uzalishaji na kubana mianya ya matumizi mabaya ya wizara.

Leo hii ukipita Huko Halmashauri ni vikao TU wiki nzima sijui pesa wanapata wapi za vyakula ,maji na soda halafu Waziri yupo, viongozi wa Chama kwenye Wilaya wapo wanaangalia TU pesa za wananchi zinaliwa Kwa Tenda za kuuza chakula na vinywaji Kwa Mwezi vikao ni zaidi ya siku kumi. Matumizi mabaya ya serikali. Waziri Muhusika apumzike mana hii nchi sio ya ukoo wake Wala ya Babu yake kwamba uwaziri ni urithi wake. Yes. Mawaziri wasiofaa wapumzishwe.
Hayo ni maoni yako japo umeandika kurasa nyingi mno.
 
Basing on performance, regarding on challenges in countered since ameingia ofisini na Kwa ujumla ufanisi hafifu; Nani unadhani watoto na familia yake waanze kujiandaa kisaikologia kuondoka kwenye nyumba za Serikali endapo ataendelea kusimamia mikakati ileile na kushughulikia utumbuaji wa watu aliowakuta ofisini badala ya kuwasiadia mission na vision yakuzitoa Wizara hapo zilipo?
1. Profesa Ndalichako
2. Dorothy Gwajima
3. Dr. Jafo
4. Jenister mhagama
5. Ndumbaro
6. January
7. Mwigulu
8. Masauni
9. Bashe
10. Rizi
Hawa Mawaziri speed Yao ya ubunifu hapana, aidha wameshindwa kubeba maono ya wizara wanahitaji kupewa Wizara mbadala au uwezo wao ndo umeishia hapo.

Kama wanasoma hizi posts watambue Wana kazi kubwa ya kufanya utafiti na ku identify gap kwenye Wizara zao Kisha waje na strategy itakayowafanya waonekane wamelifaninyia Taifa Jambo jipya.

Strategy ya kutangaza matumizi ya mgawo wa Fedha wanazopewa siyo sahihi wanapaswa kutuambia wanasaidiaje walipa Kodi Ili Wizara zao ziwe na mgao mkubwa zaidi?

Mikakati ya kuongoza Wizara haiwezi kupatikana Kwa mganga wa kienyeji; inatoka Kwa Mungu Kupitia watu waliokuzunguka pamoja na juhudi za kutumia muda wako kuilinda dhamana uliyopewa. Wapo wengi awamu iliyopita walichanja chale wapate madaraka Lakini wapo benchi; waliomtegemea Mungu wanaendelea kupata iliyohaki Yao bila kujali kuharibu maisha ya wengine.

This is wake up call, jitahidini Ili mama asitoe press release. 2025 it's just around the corner msimkwamishe mama mkawapa wapinzani agenda. Most of you mpo below 50 mnakwama wapi?
Kwani kazi za uwaziri zinafanywa kwenye media!?
ww umetumia vigezo vipi kuwachunguza ukaona hawafai!!!
Au unajiandikia andikia tu!
next time jitahidi kutoa vigezo kwa kina juu ya mapungufu yao sio unaandika jumla jumla tu jemed!
 
Tangu iingie awamu ya Tano Mtendaji wa serikali ni mmoja tuu.
Hao wengine ni watu waliobahatika kupata fursa za kula Bata Kwa Kodi ya Watanzania.
Mtendaji ni Rais TU labda kidogo na Waziri Mkuu.

Mawaziri walikua ni Wanne TU mpaka Sasa :-

Lowasa (Maji ) aliibuliwa na Mkapa.
Lukuvi ( Ardhi) aliibuliwa na Kikwete
Magufuli (Ujenzi ) aliibuliwa na Mkapa.
Mrema (Mambo ya ndani) aliibuliwa na Mwanyi.

Magufuli hakuibua Wazirj na Mtendaji mwenye uwezo mpaka anaondoka Duniani!

Mama Samia mpaka Sasa Hana Waziri zaidi ya yeye Mwenyewe kuupiga mwingi lakini Hana wafungaji, ni sawa na Kocha asiye na wachezaji wa uhakika anayeamua kuwa Mchezaji kumsaidia kipa , beki na mshambuliaji; wakati huo huo akiwa kocha. Kuna Mchezaji wa Simba zamani alikua anaitwa Hassan Hafifu alikua anacheza na kumiliki uwanja mzima. Alikua ni kocha Mchezaji.

Angalau kidogo Waziri ambaye akijipanga vizuri anaweza akaimudu kazi yake ni Nape mpaka Sasa angalau anaonyesha kuwa anaweza japo siasa za uchama zimemzidi.Na pia Bado anakashfa ya kushiriki katika kujenga mifumo ya dhulma za kisiasa na kufanya viongozi wasiofaa kupata fursa za kutangazwa washindi Kwa nguvu wakati wa uchaguzi. Hii laana aitubie ili apate Kibali.
Nape akiweka pembeni uchama na kuweka mbele maslahi ya Nchi atakua Waziri Bora sana. Hana Kashifa Wala tamaa za kujimilikisha Mali za dhulma dhulma.
Makonda akirudia shule na kusoma Kwa cheti chake Cha Jina lake halisi la Albert na kuondoa ubini wa Bashite mana Bashite limekua kama msamiati mpya wa mtu mwenye vyeti feki ,atakua ni Kiongozi mzuri aondokana na chuki za kivyama na ajifunze Nini maana ya Demokrasia na uhuru na haki za binadamu kuishi.

Mtu pekee anayeweza kuwa Waziri akàcha Alama ndani ya CCM Kwa Sasa ni Antoni Mtaka RC Dodoma.Napendekeza Anton Mtaka ateuliwe kuwa Mbunge na Kisha apewe Naibu Waziri Wizara ya ujenzi amsaidie Mbarawa kusimamia Hawa TARURA na Tanroad Wajenge Miundo Mbinu za vijijini Kwa Kasi na Kwa viwango .

Gwajima na Mwenzake
Ndalichako
Wanapaswa kuwekwe kwenye kamati ya Elimu na Afya bungeni lakini sio kuwa Mawiri.

Ningekua Rais ningeweka nafasi za uwaziri wazi watu waombe na kila mmoja aseme anaweza kuongoza wizara Gani na ataje changamoto zake na namna atakavyoshughulika nazo. Pawe na kiapo na ajiwekee mwenyewe muda wa kuyatekeleza hayo na asipoyatekeleza achukuliwe hatua Kali ikiwa ni pamoja na kuchunguzwa na akibainika alizembea Kwa sababu ya kushirikiana na mafisadi basi afilisiwe kabisa. Anayefanya vizuri apewe bonasi ya mil. 500 kila Baada ya miaka mitano na wananchi ndio watatoa tathmini ya Waziri Bora. Waziri atalazimika kuwa mbunifu na kuongeza uzalishaji na kubana mianya ya matumizi mabaya ya wizara.

Leo hii ukipita Huko Halmashauri ni vikao TU wiki nzima sijui pesa wanapata wapi za vyakula ,maji na soda halafu Waziri yupo, viongozi wa Chama kwenye Wilaya wapo wanaangalia TU pesa za wananchi zinaliwa Kwa Tenda za kuuza chakula na vinywaji Kwa Mwezi vikao ni zaidi ya siku kumi. Matumizi mabaya ya serikali. Waziri Muhusika apumzike mana hii nchi sio ya ukoo wake Wala ya Babu yake kwamba uwaziri ni urithi wake. Yes. Mawaziri wasiofaa wapumzishwe.
Magu kamwibua bashe
 
Hapo hakuna atakaekabidhi ofis..Ni mwendo mdundo Hadi 2025...
 
Back
Top Bottom