Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Basing on performance, regarding on challenges in countered since ameingia ofisini na Kwa ujumla ufanisi hafifu; Nani unadhani watoto na familia yake waanze kujiandaa kisaikologia kuondoka kwenye nyumba za Serikali endapo ataendelea kusimamia mikakati ileile na kushughulikia utumbuaji wa watu aliowakuta ofisini badala ya kuwasiadia mission na vision yakuzitoa Wizara hapo zilipo?
1. Profesa Ndalichako
2. Dorothy Gwajima
3. Dr. Jafo
4. Jenister mhagama
5. Ndumbaro
6. January
7. Mwigulu
8. Masauni
9. Bashe
10. Rizi
Hawa Mawaziri speed Yao ya ubunifu hapana, aidha wameshindwa kubeba maono ya wizara wanahitaji kupewa Wizara mbadala au uwezo wao ndo umeishia hapo.
Kama wanasoma hizi posts watambue Wana kazi kubwa ya kufanya utafiti na ku identify gap kwenye Wizara zao Kisha waje na strategy itakayowafanya waonekane wamelifaninyia Taifa Jambo jipya.
Strategy ya kutangaza matumizi ya mgawo wa Fedha wanazopewa siyo sahihi wanapaswa kutuambia wanasaidiaje walipa Kodi Ili Wizara zao ziwe na mgao mkubwa zaidi?
Mikakati ya kuongoza Wizara haiwezi kupatikana Kwa mganga wa kienyeji; inatoka Kwa Mungu Kupitia watu waliokuzunguka pamoja na juhudi za kutumia muda wako kuilinda dhamana uliyopewa. Wapo wengi awamu iliyopita walichanja chale wapate madaraka Lakini wapo benchi; waliomtegemea Mungu wanaendelea kupata iliyohaki Yao bila kujali kuharibu maisha ya wengine.
This is wake up call, jitahidini Ili mama asitoe press release. 2025 it's just around the corner msimkwamishe mama mkawapa wapinzani agenda. Most of you mpo below 50 mnakwama wapi?