Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaland ni wakawaida sanaa yani ni modern version ya Lukaku,.....Haaland kwa moto wake, namuona kabisa akitwaa Ballon Dor kabla ya Mbappe.
Wewe mtizamo wako upoje?
Ballon d' Or ijayo Neymar anaweza kubeba.Mbappe ni complete player ila Halland ni clinical finisher, hivyo modern footbal ni results oriented ambayo inampa favor Halland kuliko Mbappe.
Mbappe anaweza staafu soka kama Neymar bila kumiliki Ballon d'Or, lakini Halland ndani ya miaka miwili kuanzia msimu huu atakuwa na
Ballon d'Or kabatini kwake.
Haland kwasababu hana majivuno,yupo focused na determined.....mbape pia yuko vzr japo ashaanza kuvimba kichwa mapemaHaaland kwa moto wake, namuona kabisa akitwaa Ballon d'Or kabla ya Mbappe.
Wewe mtazamo wako upoje?
Mbappe ange enda Real Madrid mapema tu kitu kabatiniMbappe brazamen tu yule haaland namuona kama cr7 mtu asiyelewa sifa mtu wa kazi
Hakuna ataebeba mpk Messi astaafuHaaland kwa moto wake, namuona kabisa akitwaa Ballon d'Or kabla ya Mbappe.
Wewe mtazamo wako upoje?
Huyo hata aende wapi hamna kitu kuna mwamba ameeleza vizur hapo juu kuwa haaland yupo focused na determined na hana majivuno ukiangalia ni kweli namuona akipata mafanikio kuwazidi mabrazamen neymar mbappeMbappe ange enda Real Madrid mapema tu kitu kabatini
Wapambane wamchukue UCL unless itakua historyNamuona Haaland akibeba ballon d'or mapema kabla ya Mbappe misifa
Labda ahame timuMbappe ni complete player ila Halland ni clinical finisher, hivyo modern footbal ni results oriented ambayo inampa favor Halland kuliko Mbappe.
Mbappe anaweza staafu soka kama Neymar bila kumiliki Ballon d'Or, lakini Halland ndani ya miaka miwili kuanzia msimu huu atakuwa na
Ballon d'Or kabatini kwake.