Kati ya Mbappe na Haaland nani atakuwa wa kwanza kubeba Ballon d'Or?

Haaland ni gola machine ,anaweza kumaliza msimu ni ...

Top score wa epl ..

Top score wa uefa ...

Hapa kinachofuata ni club ,Kama man city akichukua epl ...hapa atakuwa na advantage ...

Kama psg ikichukua ubingwa league 1.. mbappe sio adavantage Kwan Kila mtu anajua ile ni farmer league...

Kama city ikichukua uefa + epl ,haaland akawa top score epl + uefa basi anapewa ....

Kama psg atabeba league 1+ uefa + mbabpe kuwa top score uefa na league 1 ...basii anapewa ...

Kingine tofuata na hivyo ni ukubwa wa mashabiki ,na kukubalika na wapiga kura ,kuanzia mareferee ma pundit wote wa mpira Duniani ...

Majivuno ya mbappe na dharau dhidi ya mess tayari alishajiharibia na kupunguza mapenzi kwa baadhi ya mashabiki na manguli wa mpira Duniani hata kura zikipigwa hapa haaland kule mbappe mbappe anaweza kupoteana ...mpira ni nidhamu tofauti na kipaji .....

Club walizopo city & psg ....

Lewandosik kaamua kwenda Barcelona huku akisema live ndio club inayoweza kumpa ballond or ,alipokuwa buyern alifanya Kila unachojua wewe kuchukua uefa ,bundasilga ,club world cup ,super cup ,uefa top score , bundasilga top scorers.....lakin hakuipata hio balloon dor [emoji23][emoji23][emoji23]

Haya Mambo yamekaa kibishara na kisiasa zaidi .....

Wapo tayari kumpa mtu tuzo nyingine ya mchongo ili ballondior apewe mess au Ronaldo..
umemaliza kila kitu, tuzo za kura ni kibiashara zaidi, ukiangalia kibiashara Mbappe anauza zaidi kuliko Halaand,
 
uwezi kumfananisha mbappe na Haaland , mbape ni play maker na vile vile ni goal machine... Haaland uyu uyu ambae ukimuachia mabeki wawili awezi kuwapita serious? ingekuwa tozo wanapewa kwa kufunga migoli angepewa Lewandowski lakini wakaangalia wakaona bado hana vitu vingi vya kuweza kupew ballo d or yani upewe ballo d or kwa kujipozisheni tu kwenye nafasi na kufunga
 
Haaland ni gola machine ,anaweza kumaliza msimu ni ...

Top score wa epl ..

Top score wa uefa ...

Hapa kinachofuata ni club ,Kama man city akichukua epl ...hapa atakuwa na advantage ...

Kama psg ikichukua ubingwa league 1.. mbappe sio adavantage Kwan Kila mtu anajua ile ni farmer league...

Kama city ikichukua uefa + epl ,haaland akawa top score epl + uefa basi anapewa ....

Kama psg atabeba league 1+ uefa + mbabpe kuwa top score uefa na league 1 ...basii anapewa ...

Kingine tofuata na hivyo ni ukubwa wa mashabiki ,na kukubalika na wapiga kura ,kuanzia mareferee ma pundit wote wa mpira Duniani ...

Majivuno ya mbappe na dharau dhidi ya mess tayari alishajiharibia na kupunguza mapenzi kwa baadhi ya mashabiki na manguli wa mpira Duniani hata kura zikipigwa hapa haaland kule mbappe mbappe anaweza kupoteana ...mpira ni nidhamu tofauti na kipaji .....

Club walizopo city & psg ....

Lewandosik kaamua kwenda Barcelona huku akisema live ndio club inayoweza kumpa ballond or ,alipokuwa buyern alifanya Kila unachojua wewe kuchukua uefa ,bundasilga ,club world cup ,super cup ,uefa top score , bundasilga top scorers.....lakin hakuipata hio balloon dor [emoji23][emoji23][emoji23]

Haya Mambo yamekaa kibishara na kisiasa zaidi .....

Wapo tayari kumpa mtu tuzo nyingine ya mchongo ili ballondior apewe mess au Ronaldo..
Hivi ni wapi Mbappe kamzadharau Messi? mnakuza sana vitu nme angalia mechi zote za PSG msimu huu jamaa wana corporate vizuri
 
Kifupi balon Dior lazima awe mzungu wa rangi.nimemaliza
944FAF1C-6767-45B2-B91C-421ECBCD00C0.jpeg
 
Halaand. Ata pata mapema kuliko Mbappe. Hana majivuno. Mbappe, ana bania pasi kwa wenzie wanapokuwa ktk nafasi nzr za kufunga. Hadi sasa hana assist hata 1 kwa mwenzie. Hivyo Wapiga kura wata ona ni ishara ya uchoyo.
 
Ila Mbape huyu Dogo sijui ana matatizo Gani? Anapenda Sana kujilinganisha Na Messi/Neymar anasahau hao Jamaa Sio level yake Bali alitakiwa kujifunza mengi kutoka kwao.
 
uyo messi na neymar zama zao zimeisha ni zama za mbape ndio muda wake uyu mtoto kutusua apo PSG wako radhi aondoke messi lakini siyo Mbape si umeona mkataba aliopewa dogo anachukua €1milioni kwa wiki yani dogo anachukua zaidi ya billion mbili nq nusu za kibongo kwa wiki ndio mchezaji anayelipwa mshaara mkubwa duniani
 
Back
Top Bottom