uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Na watu wanasahau msimu ulioisha Messi na Neymar walionesha kutojitoa kwa dhati kwa timu na Mbape akabaki anapambana na kwa Sasa ndio alama ya Psguyo messi na neymar zama zao zimeisha ni zama za mbape ndio muda wake uyu mtoto kutusua apo PSG wako radhi aondoke messi lakini siyo Mbape si umeona mkataba aliopewa dogo anachukua €1milioni kwa wiki yani dogo anachukua zaidi ya billion mbili nq nusu za kibongo kwa wiki ndio mchezaji anayelipwa mshaara mkubwa duniani
Swala la majivuno na sifa ni siasa za madrid wanaomchafua baada ya kuwakatalia deal