Kati ya Mbappe na Haaland nani atakuwa wa kwanza kubeba Ballon d'Or?

umemaliza kila kitu, tuzo za kura ni kibiashara zaidi, ukiangalia kibiashara Mbappe anauza zaidi kuliko Halaand,
 
uwezi kumfananisha mbappe na Haaland , mbape ni play maker na vile vile ni goal machine... Haaland uyu uyu ambae ukimuachia mabeki wawili awezi kuwapita serious? ingekuwa tozo wanapewa kwa kufunga migoli angepewa Lewandowski lakini wakaangalia wakaona bado hana vitu vingi vya kuweza kupew ballo d or yani upewe ballo d or kwa kujipozisheni tu kwenye nafasi na kufunga
 
Hivi ni wapi Mbappe kamzadharau Messi? mnakuza sana vitu nme angalia mechi zote za PSG msimu huu jamaa wana corporate vizuri
 
Halaand. Ata pata mapema kuliko Mbappe. Hana majivuno. Mbappe, ana bania pasi kwa wenzie wanapokuwa ktk nafasi nzr za kufunga. Hadi sasa hana assist hata 1 kwa mwenzie. Hivyo Wapiga kura wata ona ni ishara ya uchoyo.
 
Ila Mbape huyu Dogo sijui ana matatizo Gani? Anapenda Sana kujilinganisha Na Messi/Neymar anasahau hao Jamaa Sio level yake Bali alitakiwa kujifunza mengi kutoka kwao.
 
Ila Mbape huyu Dogo sijui ana matatizo Gani? Anapenda Sana kujilinganisha Na Messi/Neymar anasahau hao Jamaa Sio level yake Bali alitakiwa kujifunza mengi kutoka kwao.
uyo messi na neymar zama zao zimeisha ni zama za mbape ndio muda wake uyu mtoto kutusua apo PSG wako radhi aondoke messi lakini siyo Mbape si umeona mkataba aliopewa dogo anachukua €1milioni kwa wiki yani dogo anachukua zaidi ya billion mbili nq nusu za kibongo kwa wiki ndio mchezaji anayelipwa mshaara mkubwa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…