uyo messi na neymar zama zao zimeisha ni zama za mbape ndio muda wake uyu mtoto kutusua apo PSG wako radhi aondoke messi lakini siyo Mbape si umeona mkataba aliopewa dogo anachukua €1milioni kwa wiki yani dogo anachukua zaidi ya billion mbili nq nusu za kibongo kwa wiki ndio mchezaji anayelipwa mshaara mkubwa duniani