Calis10
JF-Expert Member
- Jun 27, 2020
- 406
- 1,165
Wakuu Habari ya uzima, Twende moja kwa moja kwenye mada, Kati ya hayo majiji mawili ni jiji lipi linaweza kunifaa kijana Mimi ninae taka kuanza maisha?
Nataka kujikita kwenye shughuli za ufundi kwani ninaujuzi wa utengenezaji wa samani za ndani (furniture) aina zote na pia nina vifaa vyote vinavyo weza kuniwezesha kufanya hizo kazi kwa viwango vya juu na vyenye ubora zaidi
Nataka nikawekeze zaidi kwenye utengenezaji / utoaji huduma kwenye mambo yafuatayo
1. Utengenezaji wa samani za ndani (furniture) aina zote
2. Alminium Eg. madirisha, milango frem n.k
3. Chuma Eg. mageti, milango, madirisha n.k
Nawasilisha,
Michango yenu inahitajika ili kijana wenu niweze kujikwamua kiuchumi. Asante.