mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Hawakulogi ufe ila wanaroga utafutaji wako unakuwa mgumuHuo ushirikina wa kumloga mtu mnaousema siku hizi haupo! Watu wamedevelop. Labda uende machimboni huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakulogi ufe ila wanaroga utafutaji wako unakuwa mgumuHuo ushirikina wa kumloga mtu mnaousema siku hizi haupo! Watu wamedevelop. Labda uende machimboni huko
AiseeMbeya hakuna Dili mkuu, tena wenyeji wa ule mkoa ni wanonko kinona... Nenda mwanza na ndugu zako wote watakufuata maana ni fair ground. Unaweza ukaingia kwenye kilimo, ama ujasiliamali pote panakufaa. MWANZA utakuwa free kumiliki Ardhi, ila mbeya ushirikina na roho mbaya vitakukimbiza hata kama Ardhi umenunua kihalali.
Sio kwa sasa!Hawakulogi ufe ila wanaroga utafutaji wako unakuwa mgumu
Nashangaa namna ambavyo watu wana chuki na mkoa wa Mbeya! Niko Mbeya maisha yangu yote, lakini mambo mengi yanayosemwa kuhusu hapa hadi mimi nakaa kushangaa mana ni mapya kwanguMbona waguna mkuu
Ukitaka kutoboa nenda penye pana ushindanMwanza usiende, ushindani kwenye sekta hiyo ni mkubwa Sana.
Nenda Mbeya
Sio watu ni wapuuzi wachache wa Mwanza.Nashangaa namna ambavyo watu wana chuki na mkoa wa Mbeya! Niko Mbeya maisha yangu yote, lakini mambo mengi yanayosemwa kuhusu hapa hadi mimi nakaa kushangaa mana ni mapya kwangu
Naona umeamua kuja na data kabisa mkuu. Shukrani.Sio watu ni wapuuzi wachache wa Mwanza.
Wakati Mbeya yote Kuna kipato Cha watu Sasa waambie Watu wa Mwanza wakuletee mapato ya Misungwi,Nansio,Magu nk utacheka 😆😆👇👇View attachment 3148890
Zingatia hiloNaona umeamua kuja na data kabisa mkuu. Shukrani.
Wakuu Habari ya uzima, Twende moja kwa moja kwenye mada, Kati ya hayo majiji mawili ni jiji lipi linaweza kunifaa kijana Mimi ninae taka kuanza maisha?
Nataka kujikita kwenye shughuli za ufundi kwani ninaujuzi wa utengenezaji wa samani za ndani (furniture) aina zote na pia nina vifaa vyote vinavyo weza kuniwezesha kufanya hizo kazi kwa viwango vya juu na vyenye ubora zaidi
Nataka nikawekeze zaidi kwenye utengenezaji / utoaji huduma kwenye mambo yafuatayo
1. Utengenezaji wa samani za ndani (furniture) aina zote
2. Alminium Eg. madirisha, milango frem n.k
3. Chuma Eg. mageti, milango, madirisha n.k
Nawasilisha,
Michango yenu inahitajika ili kijana wenu niweze kujikwamua kiuchumi. Asante.
Asante Brother Nitakuja kupaangalia hukoNipo mwanza watu wa kazi zako wako wengi karibia kila sehemu ila wanasema kwenye ushindani ndipo hela ilipo km vipi tembelea mwanza uone kama utapamudu. Na vyema uje ujiunge na ofisi mojawapo km fundi huku unaakilizia upepo
Kulingana na Kazi anazotaka kufanya, Mbeya ni Bora zaidi kuliko Mwanza. Mzunguko wa Pesa upo, Karibu Mbeya inawezekana huijui Mbeya. Kama mzunguko wa Pesa usingekuwepo, basi hata top 3 ya mikoa yenye GDP Kubwa isingeingia.Mkuu naendelea kukusisitiza usiende Mbeya, watu wa mbeya ni wajuaji na Wana majungu sana. Muangalie Sugu, Tulia, Mwakiembe, Mwandosya, Mwabukisi, Sativa, Mdude Nyagari na wengine wengi hao wote ndiyo sampo ya watu wa mbeya. Ukija kwenye swala la uchumi mkoa huo hauna mzunguko mkubwa wa pesa ukitaka kuamini Hilo angalia maeneo jirani Hayaendelei ukilinganisha na mkoa wa mwanza ambao miji midogo mingi anatoa bukup mfano kahama, katoro, geita nk. Uchumi wa Mwanza unasaportiwa na sekta zote za uchumi, kilimo, uvuvi, madini, ufugaji na biashara. Swali kwa ko ChoiceVariable
Mwanza zaidi ya mjini huko kwingineko ni machaka na kumejaa ufukara tuuNaona umeamua kuja na data kabisa mkuu. Shukrani.
Huu Sasa ni uongo ,kwamba Mjini kwenye watu wengi na kila kitu pawe na mzunguko mdogo? Wacha stori za kubunia.Mkuu Tunduma mzunguko uko juu kuliko hata Mbeya mjini, tembelea siku moja upaone ni kama kariakoo.
MWANZA inaizidi Mbeya kuanzia idadi ya watu na GDP.Kulingana na Kazi anazotaka kufanya, Mbeya ni Bora zaidi kuliko Mwanza. Mzunguko wa Pesa upo, Karibu Mbeya inawezekana huijui Mbeya. Kama mzunguko wa Pesa usingekuwepo, basi hata top 3 ya mikoa yenye GDP Kubwa isingeingia.
Acha kupotosha umma.