Kati ya Mbeya na Mwanza, wapi patanifaa kwenda kuanza maisha?

Kati ya Mbeya na Mwanza, wapi patanifaa kwenda kuanza maisha?

Mbeya hakuna Dili mkuu, tena wenyeji wa ule mkoa ni wanonko kinona... Nenda mwanza na ndugu zako wote watakufuata maana ni fair ground. Unaweza ukaingia kwenye kilimo, ama ujasiliamali pote panakufaa. MWANZA utakuwa free kumiliki Ardhi, ila mbeya ushirikina na roho mbaya vitakukimbiza hata kama Ardhi umenunua kihalali.
Mnawezaje kukabiliana na hizi changamoto za ushirikin na Roho mbaya?
 
Mbeya hakuna Dili mkuu, tena wenyeji wa ule mkoa ni wanonko kinona... Nenda mwanza na ndugu zako wote watakufuata maana ni fair ground. Unaweza ukaingia kwenye kilimo, ama ujasiliamali pote panakufaa. MWANZA utakuwa free kumiliki Ardhi, ila mbeya ushirikina na roho mbaya vitakukimbiza hata kama Ardhi umenunua kihalali.
Kuna watu washirikina kama wasukuma?...mbeya ni free port kuna kila aina ya watu toka makabila yote hadi nchi tunazopakana nazo wafanyabiashara wakubwa mbeya siyo wenyeji Acha kumdanganya mshkaji
 
I
Naona watu wengi wanatumia mpaina kuliko mlingoti. Milingoti nasikia Mbao zake zinapinda mapema.
Inategemeana na kazi/ bidhaa unayohitaji, kwenye utengenezaji wa sofa hii mbao ni ngumu na imara kuliko mipaini
 
I

Inategemeana na kazi/ bidhaa unayohitaji, kwenye utengenezaji wa sofa hii mbao ni ngumu na imara kuliko mipaini
Nenda Chunya mafundi seremala ni wachache kule. Pia Chunya Mbao za Mninga ni nyingi kuliko sehemu yoyote ya mkoa wa Mbeya. Mwanza Mbao wana-import toka Tabora, Kwa hiyo bei yake lazima iwe juu kuliko Mbeya.
 
Wakuu Habari ya uzima, Twende moja kwa moja kwenye mada, Kati ya hayo majiji mawili ni jiji lipi linaweza kunifaa kijana Mimi ninae taka kuanza maisha?

Nataka kujikita kwenye shughuli za ufundi kwani ninaujuzi wa utengenezaji wa samani za ndani (furniture) aina zote na pia nina vifaa vyote vinavyo weza kuniwezesha kufanya hizo kazi kwa viwango vya juu na vyenye ubora zaidi

Nataka nikawekeze zaidi kwenye utengenezaji / utoaji huduma kwenye mambo yafuatayo

1. Utengenezaji wa samani za ndani (furniture) aina zote

2. Alminium Eg. madirisha, milango frem n.k

3. Chuma Eg. mageti, milango, madirisha n.k

Nawasilisha,

Michango yenu inahitajika ili kijana wenu niweze kujikwamua kiuchumi. Asante.
Mbeya malighafi kama zote, hata kwa kuanzia wakati unajitafuta ni rahisi kuingia gharama ndogo na kutengeneza sampuli kuvutia wateja na pia gharama za maisha zipo chini hivyo hata mambo yakiwa magumu unaweza kusurvive

IMwanza pamechangamka ila ngoma ngumu mpaka utoboe sio kipolepole
 
Kuna watu washirikina kama wasukuma?...mbeya ni free port kuna kila aina ya watu toka makabila yote hadi nchi tunazopakana nazo wafanyabiashara wakubwa mbeya siyo wenyeji Acha kumdanganya mshkaji
Mkuu ni maoni yangu lakini Sasa usiite uongo chief.
 
Huo ushirikina wa kumloga mtu mnaousema siku hizi haupo! Watu wamedevelop. Labda uende machimboni huko
Hizi habari za ushurikina Kuna Unataka kuniambia hadi miaka hii watu wanahangaika nao? N
 
Mkuu Tunduma mzunguko uko juu kuliko hata Mbeya mjini, tembelea siku moja upaone ni kama kariakoo.
Nakubaliana na wewe.
Sasa hivi Tunduma ni mji mkubwa unaongozwa na Mkurugenzi wa Mji. Tunduma kama sio ya kwanza basi haiwezi kukosa kwenye tatu bora ya miji ya mpakani inayokuwa kwa kasi, ikiwa na mzunguko mkubwa wa kibiashara Tanzania.
 
Back
Top Bottom