Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakao kushauri kwenda Mwanza ni sababu za mentality za kula bata, pia yeye ni mfanyakazi wa mshahara, ila kwa atakayekushauri tofauti ujue huyo ni mtafutaji kama kifaranga kinachojitegemeaWakuu Habari ya uzima, Twende moja kwa moja kwenye mada, Kati ya hayo majiji mawili ni jiji lipi linaweza kunifaa kijana Mimi ninae taka kuanza maisha?
Nataka kujikita kwenye shughuli za ufundi kwani ninaujuzi wa utengenezaji wa samani za ndani (furniture) aina zote na pia nina vifaa vyote vinavyo weza kuniwezesha kufanya hizo kazi kwa viwango vya juu na vyenye ubora zaidi
Nataka nikawekeze zaidi kwenye utengenezaji / utoaji huduma kwenye mambo yafuatayo
1. Utengenezaji wa samani za ndani (furniture) aina zote
2. Alminium Eg. madirisha, milango frem n.k
3. Chuma Eg. mageti, milango, madirisha n.k
Nawasilisha,
Michango yenu inahitajika ili kijana wenu niweze kujikwamua kiuchumi. Asante
Asante.Wala usihangaike sana kutafakari maoni ya watu hapa, wewe yaorodheshe chini, halafu jitoe mhanga kusafiri na kwenda hizo sehemu, zunguka na kujionea wewe mwenyewe, kuna kitu utagundua ambacho hakuna mtu anaweza kukieleza kiufasaha utakielewa wewe tu, na utakuwa na nafasi bora ya kuamua.
Geita pangefaa zaidi kuliko MwanzaKarata ikidondokea mwanza nitafute tufanye partnership business...kuna fursa hzo mkoa jirani na mwanza
Kwa hiyo mpaka sasa huna maisha ikiwa na maana haupo hai? ?au vpWakuu Habari ya uzima, Twende moja kwa moja kwenye mada, Kati ya hayo majiji mawili ni jiji lipi linaweza kunifaa kijana Mimi ninae taka kuanza maisha?
Nataka kujikita kwenye shughuli za ufundi kwani ninaujuzi wa utengenezaji wa samani za ndani (furniture) aina zote na pia nina vifaa vyote vinavyo weza kuniwezesha kufanya hizo kazi kwa viwango vya juu na vyenye ubora zaidi
Nataka nikawekeze zaidi kwenye utengenezaji / utoaji huduma kwenye mambo yafuatayo
1. Utengenezaji wa samani za ndani (furniture) aina zote
2. Alminium Eg. madirisha, milango frem n.k
3. Chuma Eg. mageti, milango, madirisha n.k
Nawasilisha,
Michango yenu inahitajika ili kijana wenu niweze kujikwamua kiuchumi. Asante.
Hapana, mji ni Geita ila Katolo nayo ipo mkoa wa GeitaKatolo ndo mji mkuu wa Geita?
Kama upo hai ni vyema,,,sasa tinga Kahama,,,Mbinga...Geita....Sumbawanga...au Kasulu 👍Sijamaanisha hivyo Boss
Karibu..hizo ni sehemu unazoweza piga hela kimya kimya halafu fungua na jicho la tatu humo kuna fursa utaziona.Asante
Shida ni ile ushindani...Geita pangefaa zaidi kuliko Mwanza