Kati ya Mbeya na Mwanza, wapi patanifaa kwenda kuanza maisha?

Karata ikidondokea mwanza nitafute tufanye partnership business...kuna fursa hzo mkoa jirani na mwanza
 
Wala usihangaike sana kutafakari maoni ya watu hapa, wewe yaorodheshe chini, halafu jitoe mhanga kusafiri na kwenda hizo sehemu, zunguka na kujionea wewe mwenyewe, kuna kitu utagundua ambacho hakuna mtu anaweza kukieleza kiufasaha utakielewa wewe tu, na utakuwa na nafasi bora ya kuamua.
 
Kwa hizo kazi nenda Mwanza .. !! Mbeya ni pazuri kwa biashara za kuongeza thamani zaidi sio shughuli za mikono...!!


Sijui umenipata 🤔
 
Watakao kushauri kwenda Mwanza ni sababu za mentality za kula bata, pia yeye ni mfanyakazi wa mshahara, ila kwa atakayekushauri tofauti ujue huyo ni mtafutaji kama kifaranga kinachojitegemea
 
Asante.
 
Watakao kushauri kwenda Mwanza ni sababu za mentality za kula bata, pia yeye ni mfanyakazi wa mshahara, ila kwa atakayekushauri tofauti ujue huyo ni mtafutaji kama kifaranga kinachojitegemea
Nimekuelewa mkuu. Asante
 
Kwa hiyo mpaka sasa huna maisha ikiwa na maana haupo hai? ?au vp
 
Popote unaweza kutoboa Ila nilivyokuelewa wewe ni mtaalamu mzuri wa thamani .

Maana yake unabidi kupata sehemu yenye purchasing power kubwa ili Kazi zako ziwe na mzunguko .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…