Kati ya Mbunge (MP) na Mkuu wa wilaya (DC) yupi ana mamlaka zaidi?

Nomadix

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
2,411
Reaction score
6,646
Kwema wakuu

Kama title inavyosomeka ningependa kujuzwa, kati ya Mbunge na Mkuu wa wilaya yupi ana mamlaka zaidi ya kiutawala/kiuongozi?

Naelewa mbunge yupo kwenye mhimili wa bunge(legislature) na mkuu wa wilaya yupo kwenye mhimili wa serikali kuu(executive), ila yupi kati yao ana nguvu ya kimamlaka/kiuongozi kuzidi mwingine?
Changia kwa hoja
Karibu
 
Mbunge ni mwakilishi wa wananchi na hana mamlaka yoyote zaidi ya kubeba kero na shida za wananchi wake kupeleka kwa serikali
mkuu wa wilaya ndio mwenye mamlaka kwasababu anateuliwa na rais kuongoza wilaya kwa niaba yake
 
Ila mkuu mbona mbunge analipwa zaidi kuzidi DC? imekaaje hii?
 
Kwema wakuu

Kama title inavyosomeka ningependa kujuzwa, kati ya Mbunge na Mkuu wa wilaya yupi ana mamlaka zaidi ya kiutawala/kiuongozi?

Naelewa mbunge yupo kwenye mhimili wa bunge(legislature) na mkuu wa wilaya yupo kwenye mhimili wa serikali kuu(executive), ila yupi kati yao ana nguvu ya kimamlaka/kiuongozi kuzidi mwingine?
Changia kwa hoja
Karibu
Kila mtu ana mamlaka yake.Mbunge hayuko katika mfumo wa DC wala DC hayuko katika Mfumo wa Bunge.Kwenye Ngazi ya Wilaya Mbunge ni Diwani tu ila DC haingii kwenye vikao vya madiwani.Kule anakluwepo Mkurugnezi mtendaji wa Halmashauri.

So kimamlaka hakuna anayewajibika kwa Mwenzake.Mbunge hawajibiki kwa Mtu yeyote yule nje ya Bunge ispokuwa wapiga Kura ila ndani ya Bunge anayawajibika kwa Spika to certain extent na Ndani ya vikao vya halmashauri kwa Mwenyekiti wa halmashauri au kwa Meya kwa kiwango Fulani.

So inshort Mbunge ni Mamlaka inayojitegemea ambayo inawajibu wa kuisimamia serikali katika Ngazi mbalimbali,
 
Asante kwa ufafanuzi nimeanza kupata mwanga
 
Unakumbuka Makonda alimliweka ndani mnyika?

Kule siha DC alisweka ndani das, ded na mwenyekiti WA CCM w?

DC ni cheo Cha kikoloni, hakuna WA kumkoromea ndani ya himaya yake.

DC ana mamlaka.

Ova
DC anaweza kumuweka ndani mbunge?
 
Kwema wakuu

Kama title inavyosomeka ningependa kujuzwa, kati ya Mbunge na Mkuu wa wilaya yupi ana mamlaka zaidi ya kiutawala/kiuongozi?

Naelewa mbunge yupo kwenye mhimili wa bunge(legislature) na mkuu wa wilaya yupo kwenye mhimili wa serikali kuu(executive), ila yupi kati yao ana nguvu ya kimamlaka/kiuongozi kuzidi mwingine?
Changia kwa hoja
Karibu
Rudi darasani kasome elimu ya uraia. Ulikwa unawaza ngono mwalimu anafundisha
 
Dc anamuwakilisha raisi, ukiona jina raisi huna haja ya kuuliza swali. Namaanisha DC ni raisi wa hilo eneo, mkuu wa majeshi akifika hapo anampa saluti.
Ni kweli, ila tukija kwenye suala la umuhimu mbunge ni muhimu zaidi maana anachaguliwa na wananchi na kumtoa sio kirahisirahisi wakati mkuu wa wilaya raisi anaweza kumtengua au kumhamisha anavyotaka.
 
Back
Top Bottom