Kati ya Mbunge (MP) na Mkuu wa wilaya (DC) yupi ana mamlaka zaidi?

Kati ya Mbunge (MP) na Mkuu wa wilaya (DC) yupi ana mamlaka zaidi?

Kwema wakuu

Kama title inavyosomeka ningependa kujuzwa, kati ya Mbunge na Mkuu wa wilaya yupi ana mamlaka zaidi ya kiutawala/kiuongozi?

Naelewa mbunge yupo kwenye mhimili wa bunge(legislature) na mkuu wa wilaya yupo kwenye mhimili wa serikali kuu(executive), ila yupi kati yao ana nguvu ya kimamlaka/kiuongozi kuzidi mwingine?
Changia kwa hoja
Karibu
Mbunge ana mamlaka anaweza kusema simtaki huyu mkuu wa wilaya kwa sababu anazoziona lkn mkuu wa wilaya hana mamlaka hayo.
 
Back
Top Bottom