Kati ya Mbunge (MP) na Mkuu wa wilaya (DC) yupi ana mamlaka zaidi?

Kati ya Mbunge (MP) na Mkuu wa wilaya (DC) yupi ana mamlaka zaidi?

Mkuu wa wilaya akiwa wilayani kwake ana power kuliko MP. MP anakuwa tu na influence ila nguvu za kisheria hana.
 
Kwema wakuu

Kama title inavyosomeka ningependa kujuzwa, kati ya Mbunge na Mkuu wa wilaya yupi ana mamlaka zaidi ya kiutawala/kiuongozi?

Naelewa mbunge yupo kwenye mhimili wa bunge(legislature) na mkuu wa wilaya yupo kwenye mhimili wa serikali kuu(executive), ila yupi kati yao ana nguvu ya kimamlaka/kiuongozi kuzidi mwingine?
Changia kwa hoja
Karibu
Nahisi anayelipwa mshahara mkubwa ndiye mwenye mamlaka zaidi
 
Mkuu wa wilaya akiwa wilayani kwake ana power kuliko MP. MP anakuwa tu na influence ila nguvu za kisheria hana.
Swadakta! Kila mmoja anapower kwake, mbunge akiwa bungeni anapower.
 
Hili swali limeulizwa na mtu amesoma chuo na ukute ana familia sasa...
Halafu mnashangaa CCM tunashindaje uchaguz 🤣
 
Hili swali limeulizwa na mtu amesoma chuo na ukute ana familia sasa...
Halafu mnashangaa CCM tunashindaje uchaguzi
Kuuliza sio ujinga ni part ya kuongeza maarifa mkuu kufika chuo haimaanishi unajua kila kitu.
1 Wak 8:2
Adhaniae anajua neno, hajui kitu bado kama impasavyo kujua.
 
Back
Top Bottom