Ila mkuu mbona mbunge analipwa zaidi kuzidi DC? imekaaje hii?Mbunge ni mwakilishi wa wananchi na hana mamlaka yoyote zaidi ya kubeba kero na shida za wananchi wake kupeleka kwa serikali
mkuu wa wilaya ndio mwenye mamlaka kwasababu anateuliwa na rais kuongoza wilaya kwa niaba yake
Poor BrainKipindi wenzako form one wanasoma CIVICS w3we ulikua unalamba kamasi
Kila mtu ana mamlaka yake.Mbunge hayuko katika mfumo wa DC wala DC hayuko katika Mfumo wa Bunge.Kwenye Ngazi ya Wilaya Mbunge ni Diwani tu ila DC haingii kwenye vikao vya madiwani.Kule anakluwepo Mkurugnezi mtendaji wa Halmashauri.Kwema wakuu
Kama title inavyosomeka ningependa kujuzwa, kati ya Mbunge na Mkuu wa wilaya yupi ana mamlaka zaidi ya kiutawala/kiuongozi?
Naelewa mbunge yupo kwenye mhimili wa bunge(legislature) na mkuu wa wilaya yupo kwenye mhimili wa serikali kuu(executive), ila yupi kati yao ana nguvu ya kimamlaka/kiuongozi kuzidi mwingine?
Changia kwa hoja
Karibu
Unaposema mbunge hana mamlak una maanisha nini?Mamlaka ni nini?Mbunge ni mwakilishi wa wananchi na hana mamlaka yoyote zaidi ya kubeba kero na shida za wananchi wake kupeleka kwa serikali
mkuu wa wilaya ndio mwenye mamlaka kwasababu anateuliwa na rais kuongoza wilaya kwa niaba yake
Asante kwa ufafanuzi nimeanza kupata mwangaKila mtu ana mamlaka yake.Mbunge hayuko katika mfumo wa DC wala DC hayuko katika Mfumo wa Bunge.Kwenye Ngazi ya Wilaya Mbunge ni Diwani tu ila DC haingii kwenye vikao vya madiwani.Kule anakluwepo Mkurugnezi mtendaji wa Halmashauri.
So kimamlaka hakuna anayewajibika kwa Mwenzake.Mbunge hawajibiki kwa Mtu yeyote yule nje ya Bunge ispokuwa wapiga Kura ila ndani ya Bunge anayawajibika kwa Spika to certain extent na Ndani ya vikao vya halmashauri kwa Mwenyekiti wa halmashauri au kwa Meya kwa kiwango Fulani.
So inshort Mbunge ni Mamlaka inayojitegemea ambayo inawajibu wa kuisimamia serikali katika Ngazi mbalimbali,
Rudi darasani kasome elimu ya uraia. Ulikwa unawaza ngono mwalimu anafundishaKwema wakuu
Kama title inavyosomeka ningependa kujuzwa, kati ya Mbunge na Mkuu wa wilaya yupi ana mamlaka zaidi ya kiutawala/kiuongozi?
Naelewa mbunge yupo kwenye mhimili wa bunge(legislature) na mkuu wa wilaya yupo kwenye mhimili wa serikali kuu(executive), ila yupi kati yao ana nguvu ya kimamlaka/kiuongozi kuzidi mwingine?
Changia kwa hoja
Karibu
Alikuwa anawaza vyupiKipindi wenzako form one wanasoma CIVICS w3we ulikua unalamba kamasi
Ni kweli, ila tukija kwenye suala la umuhimu mbunge ni muhimu zaidi maana anachaguliwa na wananchi na kumtoa sio kirahisirahisi wakati mkuu wa wilaya raisi anaweza kumtengua au kumhamisha anavyotaka.Dc anamuwakilisha raisi, ukiona jina raisi huna haja ya kuuliza swali. Namaanisha DC ni raisi wa hilo eneo, mkuu wa majeshi akifika hapo anampa saluti.
Ananyea debe mapema mno akienda kidwanzi. Cheo Cha DC kilianzishwa kwa Sheria ya kikoloni.DC anaweza kumuweka ndani mbunge?
Alikuwa backbencher anajichukulia sheria mkononi.Kipindi wenzako form one wanasoma CIVICS w3we ulikua unalamba kamasi
Kunywa Pepsi bariiiidiiiiKipindi wenzako form one wanasoma CIVICS w3we ulikua unalamba kamasi