Kati ya mdomo wa Wema na Hamisa upi umekaa vizuri kula Ndizi iliyoiva au kunyonya Pipi Kidungu?

Kati ya mdomo wa Wema na Hamisa upi umekaa vizuri kula Ndizi iliyoiva au kunyonya Pipi Kidungu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hivi sasa nipo busy sana nabuni ' Tangazo ' la Biashara ambalo litarushwa katika Runinga / Mkadage ambalo linahusisha Ulaji wa Ndizi iliyoiva kwa afya bora na lingine linahusisha Unyonyaji wa Pipi Kidungu ( Lollipop ) ambapo natafuta Mwanamke ' maarufu ' na mwenye ' mvuto ' nchini ili aweze kuyacheza yote mawili.

Katika Uchunguzi wangu huwa navutiwa sana na midomo ya hawa Wanawake wawili ' maarufu ' nchini Wema Sepetu na Hamisa Mobeto hadi kuhisi kwamba nikiwashirikisha na hili ' dili ' langu basi ' nitatusua ' na Tangazo litabamba mno ila bado sijajua ni yupi anafaa zaidi ya mwenzake.

Je Wadau wangu wa JamiiForums mnadhani kati ya Wema Sepetu na Hamisa Mobeto ni nani ana mdomo mzuri wa Kula Ndizi iliyoiva na Kulamba Pipi Kidungu au Lollipop? Nitawashukuruni nyote kwa majibu yenu ambayo yatapelekea Mimi kufanya Kazi za Kimatangazo na mmoja wao hapo.

Nawasilisha.
 
GENTAMYCINE kwanini tusiujadili mdomo wa wifi yetu yaani mke/mchumba wako wewe mwana jf uliyetukuka?

Mkuu Mimi nilishasema kuwa sina tena mpango wa Kuoa na hapa mwenzako najiandaa rasmi kuanza Masomo ya Theolojia ili baadae nije kuwa Padre ( Kasisi ) ili nianze tu kuwapa Waumini neno zuri la Mungu kutoka katika Injili mbalimbali. Hakuna Watu ninaowaogopa duniani kama Wanawake na hakuna Watu ambao siwaogopi duniani kama Magaidi na Wasiojulikana.
 
Ha haha kisa cha kuwaogopa wanawake?
 
Mkuu Mimi nilishasema kuwa sina tena mpango wa Kuoa na hapa mwenzako najiandaa rasmi kuanza Masomo ya Theolojia ili baadae nije kuwa Padre ( Kasisi ) ili nianze tu kuwapa Waumini neno zuri la Mungu kutoka katika Injili mbalimbali. Hakuna Watu ninaowaogopa duniani kama Wanawake na hakuna Watu ambao siwaogopi duniani kama Magaidi na Wasiojulikana.
Kumbe huna wito wa huo Ukasisi ila kwa kuwa unawaogopa wanawake
 
Mkuu Mimi nilishasema kuwa sina tena mpango wa Kuoa na hapa mwenzako najiandaa rasmi kuanza Masomo ya Theolojia ili baadae nije kuwa Padre ( Kasisi ) ili nianze tu kuwapa Waumini neno zuri la Mungu kutoka katika Injili mbalimbali. Hakuna Watu ninaowaogopa duniani kama Wanawake na hakuna Watu ambao siwaogopi duniani kama Magaidi na Wasiojulikana.

Injili mbalimbali ndio zipi hizo? Kwenye upadri kuna masista, simaanishi kuwa wanaishi kama wanandoa.

[HASHTAG]#sky eclat[/HASHTAG]
 
Hivi ni wewe kweli GENTAMYCINE au wameteka Account yako?

GENTAMYCINE hajawahi kubadilika humu JF labda Wewe na hao Wenzako waliokupa ' Likes ' hapo akili zenu ndizo zimebadilika. Labda uniambie ili nionekane Mimi ni GENTAMYCINE uliyemzoea unataka niweje? Halafu nilishaonya humu mapema tu kwamba sipendi Kupangiwa nini cha Kuwasilisha humu na ni jambo rahisi sana kama unaona ' Maandiko ' yangu yanakukera au huyapendi acha kuyafungua au kurahisisha kabisa zoezi niweke katika ' Ignore List ' yako ili upumzike nami. Hivi unajua kwamba nimeanzisha huu Uzi nikiwa ' serious ' kabisa? Sasa kwanini nyie kila mara mnataka kunihisi Mimi ndivyo sivyo? Mnanilipia ' bundle ' ya Mimi kuwepo humu? au labda mnanidai chochote ili ikibidi nijitahidi niwalipe hata kwa awamu awamu? Kiukweli nisiwaficheni nachoka na hizi ' Kauli ' zenu za kila Uchao na msipobadilika kila siku nitakuwa nawajibuni ' Kunya ' halafu mninunie zaidi.

Kwa ufafanuzi zaidi wa ' Personality ' ya GENTAMYCINE isome vyema ' Signature ' yangu kwani ina majibu yenu yote.
 
Back
Top Bottom