GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi sasa nipo busy sana nabuni ' Tangazo ' la Biashara ambalo litarushwa katika Runinga / Mkadage ambalo linahusisha Ulaji wa Ndizi iliyoiva kwa afya bora na lingine linahusisha Unyonyaji wa Pipi Kidungu ( Lollipop ) ambapo natafuta Mwanamke ' maarufu ' na mwenye ' mvuto ' nchini ili aweze kuyacheza yote mawili.
Katika Uchunguzi wangu huwa navutiwa sana na midomo ya hawa Wanawake wawili ' maarufu ' nchini Wema Sepetu na Hamisa Mobeto hadi kuhisi kwamba nikiwashirikisha na hili ' dili ' langu basi ' nitatusua ' na Tangazo litabamba mno ila bado sijajua ni yupi anafaa zaidi ya mwenzake.
Je Wadau wangu wa JamiiForums mnadhani kati ya Wema Sepetu na Hamisa Mobeto ni nani ana mdomo mzuri wa Kula Ndizi iliyoiva na Kulamba Pipi Kidungu au Lollipop? Nitawashukuruni nyote kwa majibu yenu ambayo yatapelekea Mimi kufanya Kazi za Kimatangazo na mmoja wao hapo.
Nawasilisha.