The Orginals
Member
- May 4, 2015
- 88
- 21
ok nimekuelewa haya ww upo mkoa/nchi gan?
D"jaro sioni ukali wake
kumlinganisha millard na huyu mzee ni udhalilishaji wa hali ya juu
bishana na hoja wenzio wanauona...
Kwani mtu anayetoka Burundi ndio hana haki ya kujua hao watajwa?
ungekua mtanzania ungewajua.. Kama unaijua tbc lazima utamjua dijaro nakama unaijua clouds fm lazima umjue millard ayo kwann ww unatoka kijiji gani samahani lakini?
tatizo swali alilouliza inaonyesha hayuko karibu na media kiasi ata mtoto wa std 3 anaweza kuwa na jibu la hicho kinachojadiliwa
tatizo swali alilouliza inaonyesha hayuko karibu na media kiasi ata mtoto wa std 3 anaweza kuwa na jibu la hicho kinachojadiliwa
Both are good sema D'jaro yupo kwenye chombo ambacho hakina mvuto kwa wasilikizaji na hakina ubunifu
Kwani mkali ndo nini?
Arungu mkali sana