Kati ya Millard Ayo na Dijaro Arungu, Nani Radio Presenter mkali?

Kati ya Millard Ayo na Dijaro Arungu, Nani Radio Presenter mkali?

mmmh hapo mtakua mnafananisha mbezi beach na tandale japo wote ni watangazaji wazuri ukiachia mbali elimu kiasi flan Millard Ayo yuko vizuri kiutangazaji pia ubunifu pia jamaa ana feel proud kua na kazi aliyonayo..so Ayo iz great!!
 
Milard mkali sema kipindi mwanzo mwisho matangazo
 
Kwani mtu anayetoka Burundi ndio hana haki ya kujua hao watajwa?

tatizo swali alilouliza inaonyesha hayuko karibu na media kiasi ata mtoto wa std 3 anaweza kuwa na jibu la hicho kinachojadiliwa
 
ungekua mtanzania ungewajua.. Kama unaijua tbc lazima utamjua dijaro nakama unaijua clouds fm lazima umjue millard ayo kwann ww unatoka kijiji gani samahani lakini?

D'jaro nilimfahamu kwa kua niliwahi kufanya field mahali alipokua anafanyia kazi, Millard nilimuona akitangaza habari ITV, sasa nawashindanishaje mbona vipindi vyao haviendani??
 
tatizo swali alilouliza inaonyesha hayuko karibu na media kiasi ata mtoto wa std 3 anaweza kuwa na jibu la hicho kinachojadiliwa

Media ni kusikiliza clouds na tbc fm tu?
Inawezekana yeye anasikiliza Times fm na Wapo radio tu.... Sio kila unachokijua wewe lazima na mwingine akijue.
 
tatizo swali alilouliza inaonyesha hayuko karibu na media kiasi ata mtoto wa std 3 anaweza kuwa na jibu la hicho kinachojadiliwa

Mbona kauliza kwa ustaarabu kabisa...

Kuna watu wengi ni Watanzania na hawapo Tanzania...

Kuna wengine ni Watanzania lakini si wapenzi wa kusikiliza redio hizo mbili...

Angejibiwa tu kwa ustaarabu...
 
Both are good sema D'jaro yupo kwenye chombo ambacho hakina mvuto kwa wasilikizaji na hakina ubunifu
 
Back
Top Bottom