Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani me ni mgeni nipokeeni.
Hallo wandugu nimepita kijiwe flani nimekuta watu wanabishana eti kati ya dijaro arungu wa tbc fm na millard ayo wa clouds fm nani mkali kama radio presenter mm binafsi nikaona ni millard mkali.. Je ww unaonaje
Yuko yuda fm.Millard namsikiaga mawingu FM, huyu arungu ni nani na yuko FM ipi?
Mkali lazaro matarange,hao uliowataja madj tu watangazaji wenyewe wa redio wapo,,,hao labda uwaite ma-mc au madj...kina salim kikeke wale,akina Charles Hillary,kina Waihenya Kabiru enzi hizo ndo watangazaji hawa vijana ni wazungumzaji tu ni sawa leo uniambie eti wale jamaa wa jahazi ni watangazaji nitakukatalia wale ni wapiga Porojo tu,redio zenye watangazaji Tanzania kwa sasa chache mno labda rfa,redio one,rfi,bbc tz, lakini majority ya fm stations tz zina wapiga soga tu kama wale wa power breakfast Mawingu ni waongeaji tu hata wewe usiesomea journalism unaweza kupiga domo vile,....Utangazaji ni uwasilishaji wa maudhui yaliyopangiliwa kwenye muswada maalum au script,,,,,na sio kupiga soga kama wanavofanya siku hizi,,,,ndo maana hata mbwiga wa mbwiguke anajiita mtangazaji ilhali ni mpiga domo tu....ndo maana kila mtu huko siku hizi ajiita ati! Mchambuzi,,,,utangazaji tz unapata pancha...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]acha kumfananisha millard ayo na mambo ya kipumbavu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kukusemea kwa baba mzazi baba[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ,wale ni mbingu na ardhi asee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kukusemea kwa baba mzazi baba
Hahaaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] mafuta na maji[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ,wale ni mbingu na ardhi asee