Kati ya Mkaburu na Mzulu, yupi anastahili kuiongoza Afrika Kusini?

Mkaburu
Hata Tz Mwingereza arudi tutakuwa sawa kwani hapa tulipo nchi inatawaliwa na wasiojulikana
Kama Continent tumeshindwa kujiongoza kwani watawala ni walafi wachoyo wadhulumati wajeuri na waji$&a
 
Uzi wako ungeongelea utawala wa Makaburu dhidi ya uongozi wa watu weusi kwa ujumla.

Mandela, Mbeki na Ramaphosa sio Wazulu.
 
Mkaburu
Hata Tz Mwingereza arudi tutakuwa sawa kwani hapa tulipo nchi inatawaliwa na wasiojulikana
Kama Continent tumeshindwa kujiongoza kwani watawala ni walafi wachoyo wadhulumati wajeuri na waji$&a
Hapana mkuu, isiwe hivyo!
 
Uzi wako ungeongelea utawala wa Makaburu dhidi ya uongozi wa watu weusi kwa ujumla.

Mandela, Mbeki na Ramaphosa sio Wazulu.
Mkuu Mandela na Mbeki ni Xhosa. Je Ramaphosa katokea kabila gani?

Wengine kwa makabila nawajua kama Malema ni Sotho, lucky Dube Zulu. Vyvone chakachaka Zulu.
 
Ila licha ya yote sijui kwa kuboronga kiutawala South Africa inaongoza kuwa na wanawake wazuri, warembo wenye mvuto wa kipekee na body shape nzuri ya kibantu. Hamna popote duniani wakuifikia Sauz kwa piece kali. Narudia tena hamna.

Tafiti zimethibitisha kabisa.
 
Uzi wako ungeongelea utawala wa Makaburu dhidi ya uongozi wa watu weusi kwa ujumla.

Mandela, Mbeki na Ramaphosa sio Wazulu.
Kwa muktadha wa uzi, "Mzulu" anawawakilisha Waafrika "weusi". Angalia! Kila nilikoandika "Mzulu", nimeiweka alama kuonesha kuwa huo msamiati ulivyotumika una maana ya ziada.
 
Mkuu Mandela na Mbeki ni Xhosa. Je Ramaphosa katokea kabila gani?

Wengine kwa makabila nawajua kama Malema ni Sotho, lucky Dube Zulu. Vyvone chakachaka Zulu.
Ramaphosa ni kabila la Venda.
 
South kuna makabila mengi! Kwanini umewataja wazulu pekee yao?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…