Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
KABURU bado anaiongoza S.A
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama ana nguvu ya kimaamuzi.KABURU bado anaiongoza S.A
Kakwambia nani?Sidhani kama ana nguvu ya kimaamuzi.
Hapana mkuu, isiwe hivyo!Mkaburu
Hata Tz Mwingereza arudi tutakuwa sawa kwani hapa tulipo nchi inatawaliwa na wasiojulikana
Kama Continent tumeshindwa kujiongoza kwani watawala ni walafi wachoyo wadhulumati wajeuri na waji$&a
Mkuu Mandela na Mbeki ni Xhosa. Je Ramaphosa katokea kabila gani?Uzi wako ungeongelea utawala wa Makaburu dhidi ya uongozi wa watu weusi kwa ujumla.
Mandela, Mbeki na Ramaphosa sio Wazulu.
Ni hisia tu mkuu, kulingana na mambo yanavyoenda huko.Kakwambia nani?
Kwa muktadha wa uzi, "Mzulu" anawawakilisha Waafrika "weusi". Angalia! Kila nilikoandika "Mzulu", nimeiweka alama kuonesha kuwa huo msamiati ulivyotumika una maana ya ziada.Uzi wako ungeongelea utawala wa Makaburu dhidi ya uongozi wa watu weusi kwa ujumla.
Mandela, Mbeki na Ramaphosa sio Wazulu.
Ramaphosa ni kabila la Venda.Mkuu Mandela na Mbeki ni Xhosa. Je Ramaphosa katokea kabila gani?
Wengine kwa makabila nawajua kama Malema ni Sotho, lucky Dube Zulu. Vyvone chakachaka Zulu.
Asante mkuuRamaphosa ni kabila la Venda.
South kuna makabila mengi! Kwanini umewataja wazulu pekee yao?Kura yangu ingeenda kwa Mkaburu kwa sababu zifuatazo:
1. Uongozi wao ndiyo uliyoiwezesha Afrika Kusini kuwa miongoni mwa nchi zilizoendelea duniani
2. Makaburu wanaonekana ni wachapa kazi tofauti na "Wazulu" wanaoonekana ni wavivu na wapenda starehe
3. Tokea "Wazulu" washike hatamu, inaonekana kama kasi ya maendeleo ya Afrika Kusini imepungua
4. "Wazulu" wameshindwa kutokomeza uhalifu
5. "Wazulu" hawawapendi Waafrika wenzao
Kura yako ingeenda wapi na kwa nini?
Neno "Wazulu" limetumika" hapo kuwakilisha makabila yote ya South Africa.South kuna makabila mengi! Kwanini umewataja wazulu pekee yao?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
SawaMambo yao waachieni wenyewe...
Nchi wabaki nayo, lakini usukani wakabidhi kwa Mkaburu.Ile nchi wawachie DA, ANC wameshaishindwa.