Kati ya Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni kuna unafuu wa kununua ardhi ya kilimo.

Dr Luu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2016
Posts
1,025
Reaction score
938
Habari,
Kati ya maeneo haya ni wapi kuna unafafu wa kununua ardhi (shamba) Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni ni kwa lengo la shughuli za kilimo cha umwagiliaji au Highlands yenye vipindi virefu vya mvua. Na bei kwa bei nafuu around 200k to 700k kwa hekari pawe panapitika kwa gari.

Nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…