HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
No way out...ni kusema hivyohivyo tu😔Utasikia bwana ametoa na bwana ametwaa au kazi yake mola haina makosa
Jifunze kuhusu imani juu ya Mungu shetani na kifo.. Kuna mengi yamefafanuliwa kwa kinaUtasikia bwana ametoa na bwana ametwaa au kazi yake mola haina makosa wakati huohuo anakemewa shetani ashindwe katika jina la yesu.
Waafrika manajifikirisha kwa kuwaza na kuwazua kweli?
Kama bado unaishi kwa reported speech au hearsay za hadithi wewe ni jiwe!!Angalia na hii
Ni kwa nn
Ayubu 2:5
Lakini sasa nyosha mkono wako, uuguse mfupa wake na nyama yake, naye atakukufuru mbele za uso wako.
Ayubu 2:6
BWANA akamwambia Shetani, Tazama, yeye yumo mkononi mwako; lakini tunza tu uhai wake.
Kama bado unaishi kwa reported speech au hearsay za hadithi wewe ni jiwe!!
Hili ni swali la msingi mno kwa kweli ukipata ukweli wake basi mambo mengi mengine hapa duniani hayatakusumbua. Na kwanza bwana gani hasa wanamaanisha.Utasikia bwana ametoa na bwana ametwaa au kazi yake mola haina makosa wakati huohuo anakemewa shetani ashindwe katika jina la yesu.
Waafrika manajifikirisha kwa kuwaza na kuwazua kweli?
Dini ni matumizi ya itikadi ya wenye akili kudhibiti wajinga kama wewe kupitia mistari ya kukaririshwa.Yohana 6:63 (SUV):
“Roho ndiyo itiayo uzima; mwili haufaidii kitu; maneno niliyowaambia ni roho, tena ni uzima.”
Dini ni matumizi ya itikadi ya wenye akili kudhibiti wajinga kama wewe kupitia mistari ya kukaririshwa.Angalia na hii
Ni kwa nn
Ayubu 2:5
Lakini sasa nyosha mkono wako, uuguse mfupa wake na nyama yake, naye atakukufuru mbele za uso wako.
Ayubu 2:6
BWANA akamwambia Shetani, Tazama, yeye yumo mkononi mwako; lakini tunza tu uhai wake.
Hayo yote Ni Kwa sababu haujui siri ya nenoDini ni matumizi ya itikadi ya wenye akili kudhibiti wajinga kama wewe kupitia mistari ya kukaririshwa.
Ayub ni bwana yako na je mzungu wa kuhadithiwa ni bora kuliko WAZAZI wako??
Biblia si kitabu cha dini, kimeandikwa kwa ajili ya watu wote.Hi
Dini ni matumizi ya itikadi ya wenye akili kudhibiti wajinga kama wewe kupitia mistari ya kukaririshwa.
Neno gani?Hayo yote Ni Kwa sababu haujui siri ya neno
AmenBiblia si kitabu cha dini, kimeandikwa kwa ajili ya watu wote.
Yesu asifiwe.
Wachina,wakorea,wajaoan,nk hawajui pia siri ya neno au hiyo siri ya neno ni kwaajili ya waafrika tu?Neno gani?
Neno la MunguNeno gani?
UlimwenguWachina,wakorea,wajaoan,nk hawajui pia siri ya neno au hiyo siri ya neno ni kwaajili ya waafrika tu?
Waliotumwa na Mungu kusema neno la MunguUlimwengu