Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Je, tutoe jibu kulingana na idadi ya wafuasi?
Kamba ikivutwa na watu 10, watano kwa watano wenye nguvu ndio watawavuta wengine upande wao.
Je, kuongezeka kwa maovu ni ishara ya nguvu kubwa ya shetani dhidi ya Mungu?