Kati ya Mungu na shetani yupi ana nguvu zaidi ya mwenzake?

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Je, tutoe jibu kulingana na idadi ya wafuasi?

Kamba ikivutwa na watu 10, watano kwa watano wenye nguvu ndio watawavuta wengine upande wao.

Je, kuongezeka kwa maovu ni ishara ya nguvu kubwa ya shetani dhidi ya Mungu?

Your browser is not able to display this video.
 
Je, tutoe jibu kulingana na idadi ya wafuasi?
Kamba ikivutwa na watu 10, watano kwa watano wenye nguvu ndio watawavuta wengine upande wao.
Je,bkuongezeka kwa maovu ni ishara ya nguvu kubwa ya shetani dhidi ya Mungu?
View attachment 2504644
Mungu ni muumba na shetani ni kiumbe cha Mungu, unasemaje hapo shekhe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…