Kati ya Musrael na Hamas nani anatumia haya maneno akimuuwa mtu..Allah akbaru..

Kati ya Musrael na Hamas nani anatumia haya maneno akimuuwa mtu..Allah akbaru..

Hapo vip!!

Bila shaka tunajua dini za Israel,kinachoshangaza kuna watu ambao ni wapumbavu,wanajaribu kuaminisha watu yakwamba waliomua kijana Joshua Mollel ni wasrael..wakati wauwaji wanasema Allah akbaru..Allah akibaru

NB,Musrael ana IQ kubwa hawezi kumuuwa tu mtu ovyo ovyo.Amehalalishiwa amuuwe mpalestina tu...hiyo ni mboga yake.
Je ingekuwa we ungefanyaje?

Ndiyo hawa, au picha duka hii?👇🏾

IMG-20231219-WA0022.jpg
 
Napenda sana kuchangia jukwaa la dini.
Ila kuna watu ukiisema vibaya dini yao wanakuchukia bila sababu.
Badala ya kutafuta jibu wakujibu wao tu wana kuchukia utafikiri wao ndio walii anzisha hiyo dini.
Mfano nikiuliza.
Kwenye kijitabu cha Qurani naskia ni maneno ya Mungu wanayemwita Allah.
Kama anasema Muhamadi utakuta Allah anamwambia neno "Sema"
Sasa Surat Fatiha hakuna neno "Sema"
Je ni nani anaye ongea kwanye hiyo sura ?
Anaye sema
Sisi tunakuabudu, tuongoze katika njia iliyo nyooka.
Swali
Nani anaongea katika Sura nzima ya Fatiha.
,😉😉😉
 
Hapo vip!!

Bila shaka tunajua dini za Israel,kinachoshangaza kuna watu ambao ni wapumbavu,wanajaribu kuaminisha watu yakwamba waliomua kijana Joshua Mollel ni wasrael..wakati wauwaji wanasema Allah akbaru..Allah akibaru

NB,Musrael ana IQ kubwa hawezi kumuuwa tu mtu ovyo ovyo.Amehalalishiwa amuuwe mpalestina tu...hiyo ni mboga yake.
Wewe zezeta Allah Akbar ni kiarabu na hata wayahudi wanaojua kiaarabu na waarabu wakristo wanatumia neno hilo na tafsiri yake kwa kiarabu ni Mungu ni mkubwa.
 
Back
Top Bottom