Kati ya Muziki na Mpira wa Tanzania kipi kinafuatiliwa zaidi?

Kati ya Muziki na Mpira wa Tanzania kipi kinafuatiliwa zaidi?

Kitu cha kwanza kujua ni kuwa muziki sio mchezo lakini soka na muziki vyote ni burudani.
So swali ni burudani ipi inayopendwa zaidi?
Ikiweka hisia pembeni na kuzungumza ukweli.
Kiasili muziki unawaufuasi usio wa hiali. ukiwa na maana gani, ni kwamba hakuna binadam ambaye asikilizi mziki mziki hayupo.
Tuchukulie mfano Tanzania.
Vijana watasikiliza amapiano
Wazee watasikiliza zilipendwa
Walokole watasikiliza zao za dini
Waislam watasikiliza qaswida
Watoto wadogo wataimba na kucheza ukuti ukuti n.k
Hata wachezaji wenyewe wa soka wanasikiliza muziki wakiingia uwanjani wanakuaga na Heasphones
Umo sinaakika kama uwa wanamsikiliza BARAKA MPEJA au Late. KASHASHA bali masongi

Upanda wa soka it is more logic kuwa nimpaka ufikie umri fulani ndio uanze kufuatilia soka.

Muziki ni asili yetu.
Umemaliza kila kitu mkuu mziki ni chakula ya ubongo
 
Kuna watu hata hawafuatilii mpira na haeajawahi kuingia au kupanga kuingia uwanjani kuangalia Moira,wanaona wanapoteza muda,ila sasa muziki,yaani si watoto,si wakubwa,wanasikiliza,ni suala la kuamua tu,wasikilize muziki wa Dini au wa kidunia,yaani ni muziki ndiyo kila kitu.
 
Vyote vinanafasi yake ila Mziki ndo unaongoza kwakua idadi kubwa unashabikiwa na wote KE na ME na Watoto tofauti na mpira ambao asilimia kubwa ni Wanaume ndo mashabiki......Aidha suala la Followers linachangiwa kwakua wachezaji sio watu wa drama na kiki kama wasanii mara kaonesha gari jipya,Nyumba,,Demu n.k Wachezaji hawaoneshi sana izo vitu

Lakini pia Mpira wachezaji wanatoka na kuingia kila Leo mfano Luis miquison,TK master ni wachezaji wazuri ila ni ngumu kuweka EMPIRE mtandaoni kwa nchi husika coz nature ya mpira ni kuhama leo upo nchi hii..kesho utapelekwa nchi nyngne inayoongea lugha nyngne So ata makuzi ya Acc yanakua Tabu

Lakini vyote ni burudani na Vyote vinapendwa ila MPIRA kidunia ndo unaongoza na kama unaangalia Followers basi binadamu mwenye followers wengi IG ni mcheza mpira na ile Top 10 ya wenye followers wengi wasanii ni wachache
Mziki kama ungekuwa kuupata Hadi ulipie kama mechi sijui ingekuwaje
 
Mpira unafuatiliwa na watu wa rika lote. Na maeneo yote, hata ukienda vijijini wanafuatilia hata kwa redio tu.

Muziki unafuatiliwa mostly na vijana, tena wa mjini.

Hiyo ya Kajala na Harmonize wanafuatilia wamama wa vibarazani.
Kusikiliza na kupenda music na kufuatilia maisha ya wanamuzi ni vitu viwili tofauti, hivyo usichanganye hapo.
Na technically vijana ndio wanafanya hicho cha pili yaani kufuatilia maisha ya wanamuziki.

Lakini kiuhalisia hakuna mtu asiyependa na kusikiliza music duniani, labda wewe tu.
Music ni burudani isiyo na jinsia, umri wala ushabiki ni part of human nature kama kula na sijawahi kuona mtu ambaye hapendi music na kama yupo atakuwa anaigiza.

Hata kwenye nyumba za dini kuna Music sema wameupa jina tofauti kama qaswida na kwaya.
 
Back
Top Bottom