Kati ya Muziki na Mpira wa Tanzania kipi kinafuatiliwa zaidi?

Umemaliza kila kitu mkuu mziki ni chakula ya ubongo
 
Kuna watu hata hawafuatilii mpira na haeajawahi kuingia au kupanga kuingia uwanjani kuangalia Moira,wanaona wanapoteza muda,ila sasa muziki,yaani si watoto,si wakubwa,wanasikiliza,ni suala la kuamua tu,wasikilize muziki wa Dini au wa kidunia,yaani ni muziki ndiyo kila kitu.
 
Mziki kama ungekuwa kuupata Hadi ulipie kama mechi sijui ingekuwaje
 
Mpira unafuatiliwa na watu wa rika lote. Na maeneo yote, hata ukienda vijijini wanafuatilia hata kwa redio tu.

Muziki unafuatiliwa mostly na vijana, tena wa mjini.

Hiyo ya Kajala na Harmonize wanafuatilia wamama wa vibarazani.
Kusikiliza na kupenda music na kufuatilia maisha ya wanamuzi ni vitu viwili tofauti, hivyo usichanganye hapo.
Na technically vijana ndio wanafanya hicho cha pili yaani kufuatilia maisha ya wanamuziki.

Lakini kiuhalisia hakuna mtu asiyependa na kusikiliza music duniani, labda wewe tu.
Music ni burudani isiyo na jinsia, umri wala ushabiki ni part of human nature kama kula na sijawahi kuona mtu ambaye hapendi music na kama yupo atakuwa anaigiza.

Hata kwenye nyumba za dini kuna Music sema wameupa jina tofauti kama qaswida na kwaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…