Huo mfumo ndio unapelekea mwanamke kupata ganzi ya maumivu?Wote huumia, Ila vile huku mifumo kandamizi inaona mwanaume kutokuwa mwaminifu ni sawa Ila kwa mwanamke si sawa. Cheats na kufumaniwa kwa jinsia zote ni mbaya sana
Wanaume kinacho waumiza zaidi Ni issue za ki_finance cuz kuna wengine Huwa Wana wahonga wanawake thamani za kila Aina wakidhani kuwa itasaidia kuwafanya wabaki katika maisha yao ....Wote huumia ila wanaume huumia na kuona aibu kuwa watadharaulika na watu, ila wanawake kinachosaidia huumia na kupuuza na ndiyo maana visasi vyao huwa si vya nchi hii !
Tunajifanyaga kupuuza ila wengi wetu huwa tunalipiza hata Kama ni miaka 30 mbeleniWote huumia ila wanaume huumia na kuona aibu kuwa watadharaulika na watu, ila wanawake kinachosaidia huumia na kupuuza na ndiyo maana visasi vyao huwa si vya nchi hii !
Mada inasema fumanizi sio kuachwaWanaume kinacho waumiza zaidi Ni issue za ki_finance cuz kuna wengine Huwa Wana wahonga wanawake thamani za kila Aina wakidhani kuwa itasaidia kuwafanya wabaki katika maisha yao ....
So inapotokea mwanaume ambaye Ni nguli wa kuhonga akaachwa huwa anaumia mara mbili cuz huanza kufikiria gharama zake alizo mgharamikia mwanamke pia hufikiria pia na hisia zake za upendo jinsi zilivyokosa kuthaminiwa
Ni kweli yaani hiyo ndivyo ilivyo yaani kuna watu unashudia kabisa anakwambia nimekuwa mwaminifu lakini alichonifanyia sahizi kila mtu anapakupumuliaTunajifanyaga kupuuza ila wengi wetu huwa tunalipiza hata Kama ni miaka 30 mbeleni
Ila tu tukubaliane visasi vyetu ni nyoko sana ujue, ndo maana tukazidishiwa huruma la sivyo dunia isingetosha hiiNi kweli yaani hiyo ndivyo ilivyo yaani kuna watu unashudia kabisa anakwambia nimekuwa mwaminifu lakini alichonifanyia sahizi kila mtu anapakupumulia
Tatizo huwa mnapomfanyia mwanamke unaona yeye ana moyo wa chuma, mara nyingi kwa wanawake huwa ni visasiWanaume tunaumia zaidi tunakonda mpk seli hai za damu!,maji tunaona konyagi,shetani tunamuona nae ni malaika na zaidi uhai huwa tunaona ni kifo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani kuna dada baada ya kubamba mmewe yaani koloni la zamani limeibuliwa haaa haaa, anasema nishafuta machozi duu jamani wanaume wawe na adabu kwa wenza waoIla tu tukubaliane visasi vyetu ni nyoko sana ujue, ndo maana tukazidishiwa huruma la sivyo dunia isingetosha hii
Wachepuke ila wajitahidi wake zao tusijue, huo ndo uanaume kinyume chake wajiandae kukiona cha moto, wanawake tuko kama tembo hatusahau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani kuna dada baada ya kubamba mmewe yaani koloni la zamani limeibuliwa haaa haaa, anasema nishafuta machozi duu jamani wanaume wawe na adabu kwa wenza wao
Asante sana sio kwa cheko hili loh😂😂😂Wanaume wanaumia sana kwa kweli...View attachment 1641552